money agenda
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 250
- 192
Akili za kuambiwa changanya na zakoHabari wana Jamvi, naombeni msaada kwa wale wanaojua mambo ya nyota.
Nna rafiki yangu ameanza kusali kanisa fulani maarufu hapa mjini, alipoenda kanisani mchungaji akamuombea akamwambia kuna ndugu zake wamechukua nyota yake na kuiuza Kampuni ya TOYOTA Japani. Yani amechanganyikiwa anahisi toyota wanauza magari kwa nyota yake. Eti hiii uongo f kitu inawezekana kweli? Mi naona kama ni uongo fulani wa kumfanya aende kanisa hilo daily....je inawezekana kwa nyota ya mtu kuuzwa? Tena kwa kampuni kubwa ivo kutoka kwa mtanzania wa kawaida hajulikani hata mtaani kwao?
Mnaojua habari za nyota tafadhali nisaidieni kulifumbua hil.
Sent using Jamii Forums mobile app
POUWANakupitia twende poa
Habari wana Jamvi,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua mambo ya nyota.
Nina rafiki yangu ameanza kusali kanisa fulani maarufu hapa mjini, alipoenda kanisani mchungaji akamuombea akamwambia kuna ndugu zake wamechukua nyota yake na kuiuza kampuni ya Toyota Japani.
Yani amechanganyikiwa anahisi toyota wanauza magari kwa nyota yake. Eti hii uongo kitu inawezekana kweli? Mi naona kama ni uongo fulani wa kumfanya aende kanisa hilo daily je inawezekana kwa nyota ya mtu kuuzwa?
Tena kwa kampuni kubwa ivo kutoka kwa mtanzania wa kawaida hajulikani hata mtaani kwao? Mnaojua habari za nyota tafadhali nisaidieni kulifumbua hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi?Nakupitia twende poa
Hahahahaaaa, Hutaki kuibiwa naona unachunga mzigo wako.Wapi?
Angeweza kuchanganua mambo hivyo tusingeona huu Uzi hapa.Kwani kampuni ya toyota na huyo aliyeibiwa nyota kipi kilianza?
Huyo aliyeibiwa nyota yake ana umri mkubwa kuizidi kampuni ya toyota?
Mauzo ya toyota kabla ya kuuziwa hiyo nyota yalikuwaje na sasa yakoje?
Omo!! Abiria chunga nini?Hahahahaaaa, Hutaki kuibiwa naona unachunga mzigo wako.
Aigooooo, Abiria chunga mzigo wako.Omo!! Abiria chunga nini?
Ndo inakubidi uchungeAigooooo, Abiria chunga mzigo wako.