Nyota yazidi Ng'aa: Naibu spika Dkt. Tulia Ackson apewa nishani na zawadi toka bunge la China

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang wakati alipofanya mazungumzo na Kamati hiyo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje
kutoka Bunge la China kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang ambaye pia ni Kiongozi wa
Msafara huo.

Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang (katikati) akisanini Kitabu cha Wageni alipomtembelea Naibu Spika Dkt Tulia Ackson ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi mara baada ya kuzungumza nae ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiangalia zawadi aliyopewa na na Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang
mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma
 
Watu weupe ni watu wajanja sana, hasa wakishakujua udhaifu wako uko wapi.

Wachina ni watu wa kuwa nao makin sana, wanajifanya wanatupamba lakin kwetu ndio market test yao, nani asiyejua bidhaa feki zikiwemo simu zinaondelea kuzimwa ni outcome ya biashara zao, lakin kwa vile hatuna akili tunawakenulia meno tu.
Mwafrica alilaaniwa.
 
2016-06-18-14-42-28-1949239143.jpeg

hao jamaa si ndio huyu.?maigizo tu hayo.

swissme
2016-06-18-14-42-28-1949239143.jpeg
 
Watu weupe ni watu wajanja sana, hasa wakishakujua udhaifu wako uko wapi. Huyu dada hakubaliki hata akatafute kick ulaya na marekani huku ndani hakubaliki, ana roho mbaya kama sura yake, sijui kwa nin kuna correlation kati ya sura ya mtu na roho yake japokuwa hii dhana watu wengi wanaikataa.
Wachina ni watu wa kuwa nao makin sana, wanajifanya wanatupamba lakin kwetu ndio market test yao, nani asiyejua bidhaa feki zikiwemo simu zinaondelea kuzimwa ni outcome ya biashara zao, lakin kwa vile hatuna akili tunawakenulia meno tu.
Mwafrica alilaaniwa.

Hawa si ndio walipongeza uchaguzi wa marudio wa nchi jirani
 
khaa wachina wana akili sana, yani washajua naibu spika anasikilizwa na CCM, sasa wanataka kutumia udhaifu huo kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili masuala yote yanayowahusu wao na uwekezaji wao yakipelekwa bungeni iwe ni ndiooooo! safi sana kwa kuwaiga ndugu zenu wazungu kwa kusifia sehemu zilizotoboka
 
Tanzania isitake kujiingiza kwenye ngoma ya mdumange ambayo haiwez cheza; picking sides between East and Western block kutatuleteaa shida.

With Nato new excercise on the Baltic, kuna every sign ya dawning cold war on earth.

Sisi tuelekeze nguvu zetu kwenye maendeleo making clear alliances kutatuletea shida.

Walionzisha Non Allignment Movement hawakuwa vichaa.
 
Tanzania isitake kujiingiza kwenye ngoma ya mdumange ambayo haiwez cheza; picking sides between East and Western block kutatuleteaa shida.

With Nato new excercise on the Baltic, kuna everything sign ya dawning cold war on earth.

Sisi tuelekeze nguvu zetu kwenye maendeleo making clear alliances kutatuletea shida.

Walionzisha Non Allignment Movement hawakuwa vichaa.
mpk sasa hujajua tuko side gani mkuu?au kwakuwa hatujaanza pokea kibano bado?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom