Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 30/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Jumatatu hii uwe makini katika shuhuli zako kwani unaweza kupotelewa na fedha au kitu chako cha thamani na pia usiwe mwepesi kutowa siri zako kwa watu wako Wa karibu kwani ukiendelea kufanya hivyo inaweza kuwa tatizo kwako kwakuwa maadui zako ni watu wako Wa karibu.
•Siku ya leo unashauriwa utulie kimya au uwe mpole ili siku yako iishe salama.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Ingawa mapenzi yako yanaonekana kuwa na mitihani na misuko suko mingi hutakiwi kukata tamaa huenda mpenzi ulie nae ni tatizo kwako jitahidi kutafuta ufumbuzi ili uweze kuepukana na tatizo ulilo nalo.
•Utapata maudhi sana Leo na siku itakuwa ya khofu na mashaka utakosa amani kwa ujumla.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Jumatatu hii ni nzuri kwako ingawa una changamoto za hapa na pale lakini sio tatizo kwako utafanikiwa kiasi Fulani jaribu kufwatilia ahadi ulizo pewa na watu leo hii utafanikiwa.
•Utapata matumaini mazuri na afya yako itakuwa vizuri na mipango yako itafunguka.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Mapenzi kwako siku zote yamekuwa kero kubwa inayokutesa katika maisha yako jifunze kukutana na watu au kufwata ushauri wawatu wako Wa karibu huenda ikakusaidia pia punguza kujiamini na kupiga makelele kilawakati huenda kilele zako zikakufukizia mpenzi akaenda mbali kabisa jifunze kuridhika na mapenzi unayoyapata kutoka kwa mwenza wako.
•Kazini kwako utazidi kupata heshima na hadhi zaidi nyota yako au heshima yako itapanda kama unafanya biashara basi itafunguka na utafanikiwa.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Mapenzi yako kama vile yamekosa muelekeo yani mpaka sasa hujui pakushika mpenzi wako umemkatisha tamaa mwenyewe kutokana na msimamo yako isiokuwa na kichwa wala miguu wakati mwingine unatakiwa utafakari kabla ya kuonyesha misimamo yako kwani MAPENZI kwako ni muhimu sana bila mapenzi ni bure kwakuwa unakuwa mtu uliekosa muelekeo nivyema utafute ufumbuzi ili penzi lako likae sawa.
•Jitahidi kutokupokea kila wazo unalopewa mengine yanamadhara kwako na yatakurudisha nyuma.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Jumatatu hii sio mbaya kwako fedha utakayo ipata leo hii jitahidi kulipa madeni ulio nayo kwani usipofanya hivyo huenda ukaendelea kukosa amani Jumatatu hii ni nzuri kwako huenda ukapata fedha usio itegemea.
•Safari zako sio nzuri utapoteza pesa au gharama kinyume na matarajio yako.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
jumatatu hii ni nzuri kwako ingawa unatakiwa utunze hakiba ya pesa uliokuwa nayo pia utumie akili nyingi na busara katika matumizi ya pesa kwani hakiba uliokuwa nayo huenda ikakusaidia kufanya jambo Fulani siku za usoni.
•Jitahidi ule kwa wakati na ule vizuri yatakusumbua maradhi siku chache zijazo kutokana na kutokuithamini afya yako.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
jumatatu hii sio mbaya kwako unaweza ukafanya vizuri unaweza kukutana na mtu akakupa msaada juu ya tatizo lako la kifedha au unaweza kupata msaada kutoka kwa mtu wako wa karibu pia unaweza ukapewa ahadi ya kufanikishiwa jambo Fulani kikubwa uwe makini sana katika mambo yako usipende kuropoka ropoka maana heshima yako inaweza kushuka.
•Ukikutana na mtu akakutukana au akakufyonza bila sababu za msingi basi hata unapoenda hakuna kheri.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Nyota yako upande wa mapenzi inaonyesha kuna tatizo na mifarakano katika uhusisno wako na huenda kuna tatizo lakini hulijui jaribu kupambana na kutafuta suluhisha ili mahusiano yako ya kimapenzi yakae sawa.
•Kazi zako zitaenda vizuri na kwa wepesi mkubwa zaidi pia utanufaika kwenye biashara zako au utaona faida leo na biashara itakuwa nzuri.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Jumatatu hii nyota yako ipo vizuri sana utakuta na watu wapya katika kazi zako huenda wakakuongezea wigo mpana sana Wa kukuongezea kipato huenda malengo yako mengi yakatimia kinyume na unavyofikiria kuwa tayari kwakufanikiwa na ufanye jambo zuri lolote linalokujia katika akili yako na ukiona nyota yako imetabiri mambo mazuri kwako halafu huyaoni huenda una matatizo katika mwili wako jaribu kutafuta ufumbuzi ili uweze kwenda sawa na utabiri wako.
•Utapata habari njema leo na mambo ya kukufurahisha haja zako zitatimia kwa namna usiyoitarajia na wepesi mkubwa utaupata kwenye mambo yako.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Jumatatu hii sio mbaya sana kwako ingawa kuna changamoto za hapa na pale lakini insonekana utafanya vizuri katika kazi zako pia kipato chako kitaongezeka na unashauriwa usiwe jeuri na mkaidi kwa washauri wako Wa karibu hakika utafanya vizuri.
•Safari zako ni nzuri hazina shaka yoyote nenda.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Sio mbaya sana katika upande wako Wa mapenzi imekaa vizuri ingawa hujiamini na una changamoto za hapa na pale lakini haitakuwa tatizo kwako kuwa mpole kwa mpenzi wako na upunguzi ukali na jeuri huenda ukaondowa changamoto za kimapenzi ulizo nazo.
•Utapata vimaudhi vya hapa na pale asubuhi ya leo na siku itakuwa chachu upande wako tamu si tamu chungu si chungu.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.