Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

Cortana

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
31
Reaction score
8
IMG_2342.jpg
IMG_2343.jpg
 
Attachments

  • IMG_2338.jpg
    IMG_2338.jpg
    555.8 KB · Views: 491
Ikiwa nyota ni nguvu ya ki Cosmic inayoweza kuzalisha joto,kutoa mwanga,mionzi na aina nyingine ya radiation hawa mabwana wana guts za kutoa vitu tajwa? Kama wote wamekuwa kwenye nafasi zenye kuweza kuauthorise mambo ila wakatuangusha huo uwezo wa kufananishwa na nyota unautoa wapi?
 
Ukimuangalia Magufuli tangu 1995 mpaka leo kazi alizozifanya utaona kwa nini Watanzania wanamuhitaji!
 
ndiyo maana hata watu hawawasapoti.......
Kampeni fake
Walio na mapenzi mema juu ya taifa lao na watu wake,wanaofikiri sana juu ya wapi nchi yetu iwe huko mbeleni lazima wawasupport hawa watu.(mf. mimi ninavomsupport Muhongo).

Lakini wanaojiwaza wao,familia zao,makabila yao,dini yao na kanda yao, au wale wanaowaza akiingia fulani nitapata nafasi fulani, cheo fulani, mwanangu anapata nafasi fulani au nitapata favour fulani kwenye biashara au tender zangu ndo wapo wengi sana wanawasupport hao wasio na maono mema, weredi wala usafi wa kukamata the top seat ya nchi hii.
Hata Biblia imesema njia iendayo mbinguni ni nyembamba kumaanisha wachache ndo wataingia na njia iendayo kuzimu ni pana kumaanisha wengi wanaifuata iyo.

Sasa ukitaka kujua njia hipi itaipeleka Tanzania kule inakotakiwa kuwepo waangalie hao mnaowabeza wanaowasupport hawa watu.
 
Ukiona wanaogombea karibuni wote, wanakiri miundombinu ya barabara serikali imejitahidi, lakini tusisahau ni yupi alisimamia ambaye ni waziri Magufuli!
 
Mimi binafsi I have confidence in these two guys. Watatufikisha mahali pazuri. CCM please give us one of them.
 
Ukiona wanaogombea karibuni wote, wanakiri miundombinu ya barabara serikali imejitahidi, lakini tusisahau ni yupi alisimamia ambaye ni waziri Magufuli!
Dr. Magufuli kila wizara aliyopelekwa aliitendea haki. Kuanzia wizara ya Kitoweo, Ardhi na hatimaye akarejeshwa Wizara yake ya Ujenzi akakuta inadorora, akaiinua na kufanikiwa kutekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2010 -2015 kwa vitendo.

Nakumbuka aliwahi kutamka kwamba atahakikisha wananchi wanatembea kwa taxi (gari dogo) toka Mtwara hadi Mwanza. Watu waliona kama ni porojo kwani ilikuwa haiingii akilini kwamba hilo linaweza kuwezakana. Watu walikuwa wakitoka Dar kwenda Mwanza kupitia Kenya. Lakini kauli yake hiyo ilitimia kwani hivi sasa ni lami tupu toka Mtwara hadi Mwanza; toka Mtwara hadi Mtukula; toka Mtwara hadi Rusumo; toka Dar hadi Sumbawanga. Na sasa yupo kwenye mchakato wa kuhakikisha unatembea juu ya lami toka Mtukula hadi Mbambabay kupitia Lindi, Mtwara, Tunduru, Matemanga, Namtumbo, Songea, Peramiho hadi Mbambabay.

Tunataka nini tena zaidi ya kumpa nchi ili aitendee haki. Naamini atatupatia utumishi uliotukuka.
 
Ikiwa nyota ni nguvu ya ki Cosmic inayoweza kuzalisha joto,kutoa mwanga,mionzi na aina nyingine ya radiation hawa mabwana wana guts za kutoa vitu tajwa? Kama wote wamekuwa kwenye nafasi zenye kuweza kuauthorise mambo ila wakatuangusha huo uwezo wa kufananishwa na nyota unautoa wapi?
Mkuu yaani hujaona utendaji wao kweli?
 
Muhongo ubunge wenyewe amepewa kama zaidi naye ana ndoto za kugombea uraisi labda wa madalali wenzake .Magufuli naye anangaika bure zile bilioni 262 alizokula hajamtosha?
 
muhongo ubunge wenyewe amepewa kama zaidi naye ana ndoto za kugombea uraisi labda wa madalali wenzake .magufuli naye anangaika bure zile bilioni 262 alizokula hajamtosha?

kundi la lowasa hamna akili mnawatengenezea wengine kashfa zisizo na maana, magufuli ndo nembo pekee miaka 20 ya utumishi wake ndani ya esrikali inayopeperusha bendera ya ccm mjini na vijijini na ndani ya vinywa vya wafasi wa vyama vingine.tanzanians we need a persona anda aperson is magufuli god bleess tanzania.
 
Dr. Magufuli kila wizara aliyopelekwa aliitendea haki. Kuanzia wizara ya Kitoweo, Ardhi na hatimaye akarejeshwa Wizara yake ya Ujenzi akakuta inadorora, akaiinua na kufanikiwa kutekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2010 -2015 kwa vitendo.

Nakumbuka aliwahi kutamka kwamba atahakikisha wananchi wanatembea kwa taxi (gari dogo) toka Mtwara hadi Mwanza. Watu waliona kama ni porojo kwani ilikuwa haiingii akilini kwamba hilo linaweza kuwezakana. Watu walikuwa wakitoka Dar kwenda Mwanza kupitia Kenya. Lakini kauli yake hiyo ilitimia kwani hivi sasa ni lami tupu toka Mtwara hadi Mwanza; toka Mtwara hadi Mtukula; toka Mtwara hadi Rusumo; toka Dar hadi Sumbawanga. Na sasa yupo kwenye mchakato wa kuhakikisha unatembea juu ya lami toka Mtukula hadi Mbambabay kupitia Lindi, Mtwara, Tunduru, Matemanga, Namtumbo, Songea, Peramiho hadi Mbambabay.

Tunataka nini tena zaidi ya kumpa nchi ili aitendee haki. Naamini atatupatia utumishi uliotukuka.

[video]https://m.youtube.com/watch?v=Pgv1bO3qqJg[/video]​
 
Back
Top Bottom