Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dr.Bashiru Kakurwa kaandika historia wilayani Hai kwanza kwa namna alivyopokelewa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM na kubebwa na kina mama baada ya kuchuka kwenye gari lake.
Bashiru sio MTU wa kusifia sifia watu hovyo na kwa unafiki akiwa Hai alishindwa kuficha furaha yake na kuwapa sifa watendaji kazi wa serikali ya Hai mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya aliye muita Mbunge wa Hai na Mkurugenzi wake Yohana Sintoo kwa namna wanavyo Shughulikia kero za wananchi.Dr Bashiru ameanza Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa wilayani Hai.Akiwa Hai Dr.Bashiru amefanya mkutano wa ndani na wanachama wa chama cha mapinduzi na makada.Akizungumza na wanachama hao aliwaeleza kuwa amezidi kudhibitisha hakuna chama cha upinzani chenye ngome yake Hai na Kilimanjaro kutokana na idadi kubwa ya wanachama wa chama cha Mapinduzi waliojitokeza kumpokea na hakuna chama kinaweza kusema kina ngome yake mahali wakati hakikushinda Dola kwenye uchaguzi mkuu na kusema CCM ndo chama pekee kinachokubalika nchi nzima.Alimpongeza Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kwa namna anavyo toka ofisini na kushughulika na shida za watu ikiwa za migogoro ya Aridhi na miradhi akawataka wakuu wengine wa wilaya nawao wafanye kama mkuu wa wilaya huyo.