Nyota wa soka kuonja shurba ya sharya Sudan!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Worgu sentenced to flogging in Sudan



By James Copnall
BBC Sport, Sudan
999999.gif



_46713642_worgu226.jpg
Worgu could face 40 lashes after being convicted of drink-driving

Nigerian star Stephen Worgu, who plays in Sudan, has been convicted of drinking alcohol and has been sentenced to be flogged.
Worgu plays for the Sudanese giants Al Merreikh, who are based in Omdurman in Northern Sudan.
Alcohol is illegal in the Muslim North, though not in the semi-autonomous and largely non-Muslim South.
The punishment on the diminutive attacking player has not yet been carried out, as his lawyer has appealed.
If the appeal is turned down, Worgu will receive 40 lashes and have to pay a fine of 250 Sudanese pounds, about US$100.
Fifty pounds was for drinking alcohol, and 200 pounds for driving while drunk.
The offence apparently took place in August of this year.
Worgu was bought by Al Merreikh for US$2.6m from Enyimba in Nigeria, in one of the biggest transfers in African history.
He had been the top scorer in the 2008 African Champions League, with 13 goals.
However Worgu's form on the pitch since his move has been something of a disappointment.
He was often left on the bench in key African Champions League game this season.
Earlier this year Worgu admitted to the BBC he was struggling to adapt to life in Sudan.
"I am finding it hard to adapt. It's a different culture, different religion different language, everything," he said.
"They have this Sharia law, and it's really affecting me also, because you don't feel free to do the things you need to do."
Despite Worgu's struggles, he still hopes to get a move to Europe.
A source close to Al Merreikh told the BBC he believed several foreign clubs were following Worgu closely.
It is not yet clear if this conviction could delay or even stop a potential move out of Africa for the Nigerian.

Huyu jamaa angeanza tu, akawaachia uislamu wao.
 
Haya sasa...Kula Mbokooooo.....fwiiiiiiiip...fwiiiip......fwiiiiiiiiiiip!...
 
duh mi nilidhani hizo mboko ni wao kwa wao kumbe hata kama ukihamia kwao na ukafanya wasivyotaka wanakuchalaza, hiyo balaa!!
 
Sikujua kama Sudan wana sheria ya kuendesha gari ukiwa umelewe. Nilisoma blog ya yule kaka wa light touch wiki iliyopita akizungumzia masuala ya driving while intoxicated kwa staili yake ya sacarsm. Sishangilii huyu mcheza mpira kupigwa viboko, lakini nimefurahishwa na hii sheria ya kukataza watu kuendesha wakiwa wamelewa.
 
Kana-Ka-Nsungu,
Ukiwa Roma fanya kama wafanyavyo...Worgu yupo Sudan,kiwango chake kimemfikisha hapo, aondoke aende wapi?
Omdurman,wapo walevi wengi tu lakini wanastiri upuuzi wao kwa kuwa sheria hairuhusu mambo hayo kufanywa jahara...hata Worgu si mgeni hivyo wa sharia za kiislam,japo anaishi eneo tofauti kwao Nigeria ambako kuna maeneo shariah hizo zinatumika...hapa kazidiwa na fahari na fedha na matokeo yake hata kiwango chake kimepunguwa si yule Worgu aliyewatetemesha Mafarao wa Misri siku zile, sote tukasema kijana anajiuza ghali na kweli Club za ulaya zilianza kufatialia maendeleo yake...anajiharibia kwa anasa za kupita...na hizi bakora akichapwa,labda anaweza kuzinduka kidogo akajitambua...Miafrika bana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom