Rukia Bruno aka mama stalloneNikumbushe jina la Marehemu mke wa nyoshi. Dada alikuwaga mzuri yule
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Rukia Bruno aka mama stalloneNikumbushe jina la Marehemu mke wa nyoshi. Dada alikuwaga mzuri yule
Unamanisha kuruka ukuta auNaruka ukuta
WaTz wengi kinachowapeleka out kwenye sehemu za music si mziki wenyewe, ni either umalaya (wauzaji na wanunuzi) au ulevi…Sasa usipoenda kwenye mziki ndio unamkoa Nyoshi Kweli?🤣🤣🤣🤣hata usipoenda wewe wataenda wengine...
By the way,Kwa Nini mlikuwa hamchezi mziki?mlienda kumchora tu mwenzenu sio?
Ukuta kama ukuta,wenye tofaliUnamanisha kuruka ukuta au
Anhaaa ok nkajua...Ukuta kama ukuta,wenye tofali
Nini?Anhaaa ok nkajua...
Tuko pamojaKumchukia nyoshi na kumchukulia serious ni kujichosha.
Mimi ananichekesha tu na kiswahili chake. Yeye na TID ndio watu ambao hawawezi kunikera
Uliwakuta mkuu, tupe mrejeshoBado mko makumbusho? Nipite hapo kumalizia malizia
🤣🤣🤣🤣🤣Uliwakuta mkuu, tupe mrejesho
NdioUliwakuta mkuu, tupe mrejesho
Safiii!Ndio