Nyoosha na barabara hiyo nakuona........

Nyoosha na barabara hiyo nakuona........

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
403
Hivi huwa mnajisikiaje nyie wanawake unakutana na jemba iko namna hii?
IMG_20200403_193558_353.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari ni tofauti na nilichokikuta.
Nilitegemea kukuta tabia za watu wa mjini ndo umetoka huko village unaenda kumjulia hali badala ya akufuate kituo cha daladala yeye anakaa kwenye TV anaelekeza tu. Utasikia umeshuka? Nyosha na barabara ya vumbi kushoto kwako utaona sijui nini........watu wa Dar Mungu anawaona.
 
Imeisha hiyo
tapatalk_1585844372992.jpeg
IMG-20200402-WA0004.jpeg


Sent by IPhone
 
Back
Top Bottom