Kama upo uwanja WA Taifa, nyoosha kidole chako juu, ntakuona, Mimi ndio huyo hapo karibia na goli napiga danadana, umenionaee, haya mpira mwema tupate ushindi na hivi Leo wamegawa vibendera, wacha nishangilie kwa nguvu wanaweza tugawia bia mbili mbili ukizingatia mdhamini ndo mmiliki WA viwanda vya ulabu