Nyongeza ya mshahara

Nyongeza ya mshahara

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Hivi sekta binafsi ndio imeongezwa mshahara tu ama vipi?serikalini tumebaki hoi.sasa kama mwajiri binafsi hana uwezo kulipa watumishi wake itakuwaje?
 
Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40.
 
Serikalini kupanda ishakuwa 'given'. Subiri tu 31 Julai utafurahi. Lazima utakuwa na uwezo wa kumlipa Housegirl elf 40.

Serekali inamtumia mfanyakazi wake kama punda huku anataka ajenge nchi nchi gani aijenge isiyo mnufaisha? Matokeo yake ni wizi rushwa na uzembe makazini migomo maandamano mauaji ya Albino, Kuchoma misitu n.k
 
Back
Top Bottom