Nyongeza ya mishahara serikalini

Nyongeza ya mishahara serikalini

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
209
Reaction score
37
Naomba kwa anaefahamu kuhusu nyongeza kwa wafanyakazi wa serikalini.
 
subiri Julai haraka ya nini, mpaka watu watakuambia uongo bure. we chapa kazi, mimi nami natamani kujua lakini kwa sasa sio rahisi tusubiri nyaraka za viwango vipya tutajua tu ndugu yangu
 
Ni kweli mkuu, vuta pumzi...ukweli utajulikana Julai kama nyongeza ni elfu 3, au..., si unajua ndio viwango vyao!!?
 
Back
Top Bottom