Nyomi la CHADEMA Arumeru leo



Umesema vyema mkuu lakini tatizo ni serikali haitaki tume ya uchaguzi iwe endelevu kishughuli zake. unakuta eti issue ys kuandikisha wapiga kura ni yakufanywa siku za uchaguzi tu wakati NEC inapashwa iwe ndo kazi yake ya kila siku kuhakikisha kila anayefikisha miaka 18 anasajiliwa kwenye daftari. Kwanini inachukuwa miaka yote hii kwa tume kuwa na ofisi za kudumu kila wilaya/kata/vijiji? Nadhani katiba mpya itautibu huu ugonjwa na wala hakutakuwa tena na tatizo la kuwa na wapiga kura wazee tu huku vijana wakinyimwa haki hiyo kisa watawapigia kura wapinzani.
 
Ccm inajua watu hawaipendi, ndo maana sioi anawasihi watumie busara wasitumie hasira.
 
Nina wasiwasi na Picha kwamba si ya leo.Kama mleta thread amechakacha akome,sio tabia ya CDM Hiyo.
 

Wasiwasi wangu mimi si kwa hawa kutokuwa na vitambulisho vya kupigia kura ila ni pale Tume ya uchaguzi ya CCM itakapotaka kutumia sababu hizi kunyima watu haki yao ya uraia, haki hii haiombwi na wala si favour bali ni wajibu. Kama watatumia uhuni kama wa Igunga kubadilisha majina ya katika vituo vya mwaka 2010 na ku-scramble register ili ku-create chaos na kukatisha watu tamaa, basi wajiandae for the worse in the future. Maana ni rahisi sana kuwapandikia chuki dhidi ya serikali hawa watu kama tu tume itaonesha kutokujali haki yao, ila itakuwa ngumu kuwafanya waipende tena CCM.

CCM wangekuwa na busara wangekuwa wanatumia chaguzi hizi ndogo kuonesha ubora wa utendaji wa tume kwa kuacha wananchi wajichagulie kwa amani na uhuru, then five years later unakuwa na sababu ya kuwashawishi tena kwa kuwauliza 'Are you better of today than you were four/five years ago?
 
Hii picha ni ya mwaka 2010 presidential election, ilipigwa pamoja na niliyoweka hapo chini



Angalia na hii kwa makini utagundua ni sehemu moja zilipigwa

Kaka yangu tushukuru mungu akubariki sana.
 
Si Arumeru hapo, sijaona hata mmasai mmoja
 
Wewe mtu mzima ebu tumia akili hata kidogo hiyo picha ni Arumeru hapo? Au mnaamua tu kudanganyana?

acha u pi.m.bi wewe mwanzo ulipochangia ukuwa unajua unafanya nini .akili za kushkia na super glue kaz kwel kwel.kalale ukiamka u wil be fine chali wangu
 
acha u pi.m.bi wewe mwanzo ulipochangia ukuwa unajua unafanya nini .akili za kushkia na super glue kaz kwel kwel.kalale ukiamka u wil be fine chali wangu

Haya ngoja nikufurahishe wewe ambaye si pimbi. Hapo na Arumeru bonge la Nyomi, haya furahi basi.
 


Ni kweli kiongozi! Na bila shaka hili zoezi limefanyika barabara kbs kwa taarifa tuliohakiki

Na hata waliopoteza na majina yao kuonekana nao wamepatiwa vitambulisho vingine!

Mageuzi ni sasa na kama si sasa ni sasa hv!
 
Ninayo picha ambayo ilipigwa pamoja na hii 2010, nataka kui attach inakataa sijui kwa nini! Mleta hii thread ukome kudanganya kupitia mgongo wa chadema coz chadema hatuna tabia hizi, tabia hizi ni za magamba. shame
 

hautaelekweka mkuu. hadi vyama mbadala wanaamini na wanategemea elimu ya uraia ni kazi ya NEC, NEC kwa kuwa inawaafaidisha wao na CCM, hawana mpango wa kuelimisha wananchi ju ya haki zao kikatiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…