Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Mkuu, hayo ya hama mchango unayajua wewe, sisi hata TV hatuangalii sana, cha msingi anapiga hela ya maana anatuletea, full sherehe akirudi. Na zamu hii naomba awazidi ujanja!!!Kama mtu anakumbuka kwao na nyie mnamkubali, haina utata, ila bungeni ukitoa kiwawakilisha nyie, hama mchango zaidi ya kupasha kiti joto.
Tanzania ni kubwa Mkuu, na ni zaidi ya uijuavyo.Khaa hivi hili nalo ni jambo la kushangilia ???
Joka la makengeza ndo chenge duuuh....
Difficult to compare..!
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.
Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.
Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.
Uko sawa Mkuu, katika kusherekea ushindi wa Njalu,ng'ombe wanane waliaga dunia.Mapipa mawili ya gongo, gimpumu na wandhuki (local beer) zilikuwepo. Huko ni Itilima kwao na Nyani Ngabu,na Ng'wamapalala.Kweli wanyantuzu ni superrace,jamii ya aryan mpo na yule kijana njalu nadhani sasa mtakimbiza sana maana convoy limetimia
anakuja kivingine au no style ile ile ya kupiga hela
Baaa?si. Kuja mshituke....joka la makengeza yeye ni pesa tu.