Nyoka ni fundi sana kwenye maswala ya kujificha,kama una hela nunua dawa kama Rungu,funga madirisha yote,acha mlango mmoja wazi ambao unajua ataweza kutoka,pulizia humo ndani kote mpaka iishe,inawezekana kabla hata haijaisha akakurupuka,ila hakikisha unakuwa na gongo la kumbamiza akitoka kutaka kujihami...