Huyu jamaa asiwadanganye huwezi kupata dstv bure kila baada ya dakika code za dstv zinabadilika
Mkuu tangu ni pm nimekaa nasubiri hola hebu sikia kilio cha wanao nyikani!!please mkuu.Kufyonza dstv wasiliana na mimi,
Only one time payment,
The rest ni kucheka tu
naona umefanikiwa tupe maunjanja na wengine mail 19godk@gmail.comShukrani sana mkuu nilikuwa sijalipia imekubali sasa hivi ,ureee...
Huo ni wezi wa kizamani,walishaiba na mwisho wa siku ikafungwa,utatumia hata mwaka lakini kaa ukijua iko siku itafungwa tu, Lakini zaidi sana msipende kujilemaza kwa kuwaza kupata kitu cha bure wakati wote.
mzee umefanya april fool nini? mbona upo kimya despite of all PMz
Kufyonza dstv wasiliana na mimi,
Only one time payment,
The rest ni kucheka tu
Ustaarabu ni ku-pm sababu kuna baadhi ikiwekwa hadharani wanawastua.
Kufyonza dstv wasiliana na mimi,
Only one time payment,
The rest ni kucheka tu