Y yussuf mohammed yussuf New Member Joined Mar 8, 2017 Posts 2 Reaction score 1 May 26, 2018 #1 Naomba kuuliza kwa ndugu zangu wanajamii wote je? Nyoka aina ya msanga anafaa kufugwa?
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,219 May 27, 2018 #2 nyoka yoyote yule anafukiga kwa nini sasa asifukige wakati yeye ni mnyama ? embu acheni ubaguzi usiokuwa na maana yeyote na kukinyanyapaa hiki kiumbe na anzeni kufuga nyoka
nyoka yoyote yule anafukiga kwa nini sasa asifukige wakati yeye ni mnyama ? embu acheni ubaguzi usiokuwa na maana yeyote na kukinyanyapaa hiki kiumbe na anzeni kufuga nyoka
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,114 May 27, 2018 #3 Nyoka hawafugiki ila wanafungiwa kwa maonyesho tu yaani zoo
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,653 May 27, 2018 #4 Ndiyo lakini hufugiwa chumbani unamolala chini ya uvungu
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,720 May 27, 2018 #5 Kama chini ya mvungu ni uchawi uliokubuhu