- Machozi ya furaha (This is my best LadyJayDee song..yani mzuri kweli kweli, kuanzia lyrics, mdundo yani nyimbo nzuri ya mapenzi)..
....Nuru ooh ya kweli ndani imeingia , Mola yu kati yetu leo tumethibitisha...
- Nenda kamwambie-Diamond (hebu sikiliza huu wimbo kama hujawahi kusikiliza)
- Mpenzi nakupenda-Saida Karoli (sauti yake tu anavyoivutaa)
- Mpenzi kiziwi - (nimemsahau mwimbaji)
- Nataka niwe nawe - (kuna mtu namkumbuka sana nikisikia huu wimbo)
- Nimekuchagua wewe- (huu nimeusikia sana kwenye send-off parties na harusi..very romantic)