Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,463
Nyimbo nyingi Zilizotajwa humu sio za majibozano.
Nyimbo nyingi humu wanawake wameimba viitikio tu na sio beti

AiseeMkuu kuna ule wimbo demu anaitikia "Mwenzio naogopa,naogopa ntajikata mii...
Dume: nilikupenda mi ukampenda wema
Me mwenyewe siujui jina lknaseeh.. Duuuh naukubali sanaAisee
Unaitwaje huo?