Nyimbo za dini kupigwa club hii imekaaje?

Tatizo sijui ni watu au dini zenyewe zinakua biased ila ukienda kwenye ukweli watu wa namna hiyo ndio wanahitaji zaidi neno la mungu kuliko waliopo makanisani na misikitini
Poa mkuu ila Edit neno mungu liwe Mungu
 
Injili inahubiriwa kwa walio potea sio kwa walio okoka
 
Huo ni mkesha kama mikesha mingine wacha Mungu aabudiwe kwa style tofauti.....ila hakuna biti kali club au bar kama HAKUNA MUNGU KAMA WEWE


Everyday is Saturday................................
acha mkuu tukumbushwe kuhusu Mungu
 
Ikiwa ujumbe unawafikia huko si jambo la kheri mkuu?

Habari njema ihubiriwe kote.
 
Upo Mbeya eenh?
 
Karibu Bambalaga Mkuu
 
1.Nimeuona mkono
2.Hakuna Mungu kama wewe
3.Wewe ni mungu-Dady Owen
4.shusha Nyavu-Christina shusho
Baadhi ya ngoma watu huburudika nazo klabu
 
Mkono wa Bwana, Hakuna Mungu, I know who i am....ongezea
.

Leo siku ya mwisho turudi Dar kusikiliza utawala uliooza utatuelekeza nini kuhusu Mbowe na wazalendo wengine.
Tukutane tena weekend ijayo
Mi narudi J5 aisee sijamaliza kilichonileta

hakuna Mungu kama wewe Bwana
🪕
 
Hakuna furaha isio kosa mkono wa MUNGU na huzuni kadhalika, tatizo huzuni kwa mwanadamu huwa hataki kuichanganya na furaha maana hajui vyote ni vya MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…