Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 750
- 1,327
Tuna ugomvi bro? Ungepungukiwa nini kama ungepita kimya kimya?kachunge ng'ombe huko ustuletee FRESTRESHENI hapa
yaan Rais kuwa msukuma bas mnafkiri kila kitu ni kisukuma!
nenda usukumab huko kamuulizie huyo mwimbaji! eti msanii khaaaaa
Angekufa bora kayasemaTuna ugomvi bro? Ungepungukiwa nini kama ungepita kimya kimya?
kachunge ng'ombe huko ustuletee FRESTRESHENI hapa
yaan Rais kuwa msukuma bas mnafkiri kila kitu ni kisukuma!
nenda usukumab huko kamuulizie huyo mwimbaji! eti msanii khaaaaa
Tuna ugomvi bro? Ungepungukiwa nini kama ungepita kimya kimya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angekufa bora kayasema
kachunge ng'ombe huko ustuletee FRESTRESHENI hapa
yaan Rais kuwa msukuma bas mnafkiri kila kitu ni kisukuma!
nenda usukumab huko kamuulizie huyo mwimbaji! eti msanii khaaaaa
Asante mkuuKuna mtu niliwahi kuona humu JF ameuposti katika nyuzi fulani, watu wakamshushia povu nene, pia jina nakumbuka kama kitu fulani BHATOJA, au BHATOJA MAYO au BATOJA MAYO. (Kati ya hayo matatu, sikumbuki freshi)
Au ingia nyuzi wa wana CCM, hautakosa wasukuma wanao ujua kule.[emoji18]
Angalia youtube utaupata.
Kaimba Bob haisa unaitwa BhatojaMsaada wadau....... kuna nyimbo ya kisukuma huchezwa sana kwenye maharusi huku watu wakitikisa mabega huku wakishuka chini........
Moja maneno ninayo ya kumbuka ni pamoja na
"..........funyagi mahwele anyango........"
Anayeufahamu vizuri..... jina la msanii....jina la wimbo......hata akiuweka hapa itakuweka hapa au link yake itakuwa vizuri zaidi
Asante
Kaimba Bob haisa unaitwa Bhatoja
Ukiingia yutube upo