Nyilawila bingwa dunia ndondi

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
555
Mwishoni mwa wiki ilhyopita 3 Dec 2010 bondia wetu kwa jina la Karama Nyilawila wengi mnamfahamu aliishangaza dunia kwa kutwaa taji la dunia la World Boxing Federation (WBF) uzani wa middleweght huko Czech kwa kumtwanga bondia anayeitwa Qato toka Albania. Cha kushangaza hakuna 'Publicity' ya nguvu kwenye media na viongozi wenye dhamana ya michezo pamoja na ngumi wapo kimya. Hii haipendezi kabisa kwa wazalendo wanaoliletea sifa Taifa hili. Au mpaka iwe ni mwana ukoo wa Matumla ndiyo tubumbuluke toka usingizini? Tumpatie Karama Nyilawila heshima yake! Kama Matumla alivyotwaa ubingwa middleweight wa dunia unaotambuliwa na WBU.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,926
Hongera kijana na kila la kheri.

Tanzania tunapenda tu kujisifu pale dunia nzima inatusifu.
 

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
7,030
11,463
Karama Nyilawila anatarajia kuzipiga na Francis Cheka kwenye pambano la middle weight lisilo la ubingwa huko uwa nja wa Jamhuri Morogoro tarrhe 25/ Januari/ 2012.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom