Kuna kajamaa kanatuma sms mfururizo za kujifanya kanamjari mke wangu huku kanavutia kanambutia kwake mara vipi umelala mama? pole na uchovu,mara mbona leo sijakuona nimekumiss? aisee a lot of fu....kin shit nimegundua kwenye simu ya huyu mama mtawala wangu coz siku nyingi mno sijawahi shika simu yake leo nimeona mapicha ya ajabu natamani niamue kitu ila naona kama nitakurupuka vile so nikaona bora niwashirikishe ndugu zangu kipi cha busara kuamua kwenye haka katatizo.
NB:Mwenzangu hajajua chochote kama nimepitia kwenye inbox yake.

Kusanya ushahidi vya kutosha then
1.Muite faragha kwa upole na kwa utulivu wa ajabu.Muulize jinsi anavyojisikia katika mahusiano yake(wewe na yeye). Muulize vipi anayafurahia ama bado hajapata alichokuwa anakitarajia kwenye mahusiano.
2.Muulize sasa kuhusu huyo kiumbe mbembelezaji. But make sure una ABC za huyo mwizi wako hata ikibidi google his details.
3. Chukua maamuzi kutokana na majibu ya 1 na 2! Kila la kheri!
NB:
never make permanent decisions based on temporary motives!
Ulivyoangalia charting yao umeona response ya mkeo ikoje?
Hangaika na mkeo huyo jamaa achana nae isijekuta kaambiwa wewe ulisha R.I.P kitambo so ni mjane! Au labda alijitambulisha hana mpenzi au mume kabisa!