We sema hivo hivo nyie ndio wale mwenzako anakusemesha unajifanya humsikii baadae unaomba akuelekeze kitu.Salamu isiyo na sababu iyangalie kwa jicho la tatu! Siyo kila salamu lazima uitikie na siyo lazima usalimie kila mtu! Dunia ya leo siyo ya miaka ile mtu ukiwa na njaa unaenda shamba la jirani unachuma kisamvu unaenda nyumbani kwako kupika na mwenye shamba hakuulizi au unaingia shamba la mtu unavunja miwa unakula ukimaliza unaenda zako. Je hiko haja ya kukusalimia? Hiko haja ya kuitikia salamu yako?