No woman No CryUkiona hivyo shoga yangu wanaume wamechukua nafasi zetu za vijungu jiko na sisi tumechukua nafasi zao za utafutaji, siku zote anayemchukulia mwanamke kama adui uyo hana sifa za kuitwa mwanaume maana wanawake huchukiana wenyewe kwa wenyewe na kusemana sasa leo Dume zima kila post ni wanawake wanawake wanawake basi awe kama kina Kaoge mvuto tugombanie hao mabwana wa kitonga tujue moja akitusakama tujue tunamvulugia soko
BOB hakumaanisha hivyo, alikuwa na maana ya wanawake wasilie ila kwa kuwa kiingereza chake kilikuwa kibovu watu walimnukuu vibaya.Mnatuharibia dunia yetu asee..
No Woman No Cry
Nani amesema mimi nimemkopi Bob???BOB hakumaanisha hivyo, alikuwa na maana ya wanawake wasilie ila kwa kuwa kiingereza chake kilikuwa kibovu watu walimnukuu vibaya.
NO WOMAN NO CRY, Si wimbo wa Bob au?Nani amesema mimi nimemkopi Bob???
asee rudini mlikotoka
Achana nae huyu kijana atakuumiza kichwa tu,Tufanye yetu na watatoa tu hizo pesa otherwise wanunue vilainishi wajichue na kumong'oana wenyewe kwa wenyeweNO WOMAN NO CRY, Si wimbo wa Bob au?
Alafu ujue wanawake wengine hamukutokea kwenye ubavu wetu,Achana nae huyu kijana atakuumiza kichwa tu,Tufanye yetu na watatoa tu hizo pesa otherwise wanunue vilainishi wajichue na kumong'oana wenyewe kwa wenyewe
Kwan tumekataa? Kila binadamu ana tundu kama huna mawili basi unalo moja njoon na nyie wenye tundu moja ili mfike kitonga njooni mtumie matundu yenu mpate kama tunavyopata sie dada zenu
Haha haha haha has a yote utasema weweAlafu ujue wanawake wengine hamukutokea kwenye ubavu wetu,
Mmetokea kwenye ubavu wa ndama jike