Nyie Wanawake Mnaopenda Kitonga

Halafu siku hizi wanapewa madawa wanalala jamaa ana Record Video anaenda kuipost X Videos.com usione mwanaume anakuhonga pesa ua vitu vya gharama wengine wanakitumia tuu
 
Japokuwa ukweli mchungu lakini wameshaupata
 
Hawa dada zetu Mungu anawaona tu.

Acha wajidai wanapenda mteremko sana ila waombe mungu ARV ziwe la ladha ya chocolate.
 
Bora umenene best....yaani sometimes inaboa kwakweli, women! women! women! kila jiwe baya tunarushiwa sisi tu, kweli?
Ukiona hivyo shoga yangu wanaume wamechukua nafasi zetu za vijungu jiko na sisi tumechukua nafasi zao za utafutaji, siku zote anayemchukulia mwanamke kama adui uyo hana sifa za kuitwa mwanaume maana wanawake huchukiana wenyewe kwa wenyewe na kusemana sasa leo Dume zima kila post ni wanawake wanawake wanawake basi awe kama kina Kaoge mvuto tugombanie hao mabwana wa kitonga tujue moja akitusakama tujue tunamvulugia soko
 
Naona anacompete na sisi kwenye kusaka hayo madanga,...sasa nani alimdanganya kuwa mwanamke ni maneno pekee?,,,,Mwanamke urembo na mvuto sasa yeye anavyo?
 
Stunter nakuelewa sana mkuu wewe...uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakifika miaka 40 ndio wanaanza eti kutafuta muoaji aliye "serious"
 

Ukweli unauma[emoji1549]
 
Ukweli unauma[emoji1549]
Kwan tumekataa? Kila binadamu ana tundu kama huna mawili basi unalo moja njoon na nyie wenye tundu moja ili mfike kitonga njooni mtumie matundu yenu mpate kama tunavyopata sie dada zenu
 
Hawa dada zetu Mungu anawaona tu.

Acha wajidai wanapenda mteremko sana ila waombe mungu ARV ziwe la ladha ya chocolate.
Waache wacheze, Muda utapowaacha sisi tupo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…