The stunter the don.unavunja sana stunter.....wanachanua mapajaOiiii
Nitumie thread hizo hapa mimi.wewe227@gmail.com kama inawezekanaOiiii
Huo uvumilivu&ujasiri wa kuzisoma wanautoa wapi?duuu weee jamaaa... Message sent.. nahsi naw wakna thread zako watakuwa hawasomi
Mkuu Ukiingia kwenye profile langu utaziona zote nilizoziposti siku za nyumaNitumie thread hizo hapa mimi.wewe227@gmail.com kama inawezekana
Naona Mkuu stunter katka ubora wakooNawajua Wasichana warembo ambao kwa zaidi ya
Miaka 6 wanakwea daladala kwenda kazini Posta
hadi viti vya daladala vimezoea harufu za nanihii
zao...Phonebook zao zimejaa madereva wa bodaboda
na bajaj ingawa wameshakataa lifti za Wanaume
wakware ambao wako radhi wakupeleke Kijichi halafu wao warudi Tegeta wanakoishi madai
kuonesha wameoza juu yako kumbe wanawinda
kuteremsha gagulo lako ndipo waanze Maneno ya
mafuta yamepanda bei na Gari iko gereji baby panda
tu basi..Wanajiheshimu...Wanafight wapate kilicho
halali sio cha Shortcut from Men. Iweje wewe umemaliza shule mwaka jana tu tena hata Transcript
huna unatamani kitonga.. ndani ya miezi 6 upate
mwanaume anakaa Apartment ya kupangisha
Mikocheni...Ana endesha GX100 ya mkopo anaoulipa
miaka 5 eti amekuahidi kukununulia Kluger na ww
ulivyo zuzu ukachanua Mapaja ukitegemea muujiza...Kluger ya Milioni 25,hela inayotosha
kupandisha nyumba hadi kwenye Linta kule Kijichi
akupe wewe mbulula...KWA LIPI??Mbunye tu na
Tako??Mnataka mafanikio ya haraka ufanye kazi
miezi 6 uendeshe gari wakati tumesota miaka 7 kazini
ndo tumenunua kagari ka mkopo we uje uchanue mapaja tu upewe Kluger....UNA WAZIMU...Mafanikio
hayaji haraka kama utajiri wa Babu wa
Samunge..Jiheshimu...Fanya kazi lasivyo utaendelea
kuliwa mchana wa juakali kama Burger ya Moroko.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] huhuhuhuhuNawajua Wasichana warembo ambao kwa zaidi ya