Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

MtamuMix

Senior Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
119
Reaction score
138
Hiki ninachokisema siyo cha kusikia wala kuambiwa ni uzoefu wa mara nyingi isiyo na idadi jinsi wanawake walivyo waongo tena wa kiwango cha lami natamani nikutane na shetani nimwulize hivi siku unaongea na Hawa pale bustani ya Edeni ni kitu gani kingine waliongea ambacho hakijaandikwa kwenye biblia.

Ukikutana na mwanamke na ikafuata hatua ya kupeana namba kwa sababu mbali mbali ikiwa za kikazi, biashara, kanisani, shuleni, chuoni etc sasa unaanza kuwasiliana na mdada, mwanzoni anachat kama malaika flani amazing, if not basi utadhani ni bikira Maria mama yake Yesu...hamjui mwanaume maishani kadiri siku zinavyonoga kasi itaongezeka ukigusa mambo ya mapenzi, day 1 ataruka kama vile kaona nyoka barabarani utasikia oooh, unajua mimi nakuheshimu sana, yaani wee kaka ulivyo mstaarabu sikutarajia kama utakuja kunitongoza yaani wee kaka ujue mimi mke wa mtu na sijawahi hata siku moja kuisaliti ndoa yangu, yaani wewe ndo mara yangu ya kwanza.

Baada ya hapo mwanaume uchune jifanye umemsahau, usimtafute endelea na mambo yako utakutana na sms, na calls kibao, baby mbona hupokei simu yangu, baby umekula? baby mbona leo hujanitafuta?,.hapo kama ni gari imeshafika spidi 80km/h.

Baada ya hapo, baby simu yangu mbovu, siwezi kutumia whatsapp (Hapo anataka umpe hela ya kununua simu) baby kwetu leo hakuna umeme simu yangu inazima umeme umeisha (hapo anataka umtumie hela ili aongeze umeme (hata kama haujaisha) baby simu yangu haina credit....
Acheni uongo basi....

Juzi kati nimempa lifti dada mmoja wakati anatoka job. baada ya siku 2 hivi nikampa lifti tena alivyoona tunafanya kazi maeneo jirani akaniomba namba ili awe ananicheki muda wa kuondoka niwe namsaidia Jioni akanitafuta kuniulizia kama nilifika salama. stori 2, 3 akaniuliza naishi na nani, nikasema niko geto alone.

Nikamchokoza kidogo tu siku hiyo ya kwanza akaniambia ameolewa ila hajawahi kusaliti ndoa yake hivyo hivyo wanavyodanganyaga nikaendelea kumchokoza, akaniambia kesho nitakuja nikupe duuuh, huyo ndo hajawahi kuchepuka eti... unamtongoza jioni kesho anakuletea.....

Nimeamua kudanganya tu kwamba nimepata dharura ya kikazi nimesafiri, ndo siku yangu imepita salama...
 
Sasa ulimchokonoa wa nini wakati unajua hutaki mzigo au kupimana imani?

Ukitaka kujua mwanamke anamtongoza mwanaume kuna indicators, kuna vitu atafanya.... kama mwanaume una akili utajua tuu anachotaka, ukigusa tu kajaa nyavuni... ila ndo hivyo lazima adanganye kwanza kuonyesha yeye ni kama bikira Maria...
 
Ukitaka kujua mwanamke anamtongoza mwanaume kuna indicators, kuna vitu atafanya.... kama mwanaume una akili utajua tuu anachotaka, ukigusa tu kajaa nyavuni... ila ndo hivyo lazima adanganye kwanza kuonyesha yeye ni kama bikira Maria...
Sema mkuu mie kama sijaikubali show hata ifanye nini ni kazi bure!
 
Fastjet
Enjoy-the-feeling-of-driving-a-car-when-you-ride-this-bicycle.-Go-ahead-test-out-this-cutting...jpeg
 
Viumbe vya kike hawapendi kupimwa imani na jamaa ndio ulipokosea

Next time usiombe papuchi kama huna nia ya kuila ..nao wanahisia nao wanapendwa kugegedana
 
Kwa muhtasari tu unakutana na unaofanana nao visichana

wanawake tuko makini sana tunakupotezea hata miezi 6 then unapewa tamu kali halafu unapigwa mzinga mzito miezi mitatu baadae na wengi hamchomoki

Muhimu tu ni uvumilivu akili na kutoendekeza njaa pesa zenu sie ndo watumiaji tatizo wasichana hawajui kuzinasa
 
Huyo demu itakuwa kimeo..mwanaume hakatai papuchi...

Alafu na ww utakuwa na mke..umedanganya pia!!
 
Back
Top Bottom