Nyie mnao wapangia nyumba wake zenu, wanaliwa huku

Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu. Mume wa huyu dada ni wa masafa sana akirud anakaa kidogo anasepa dada ndo anatumia opportunity vizuri kuna boya ndo analala nae sikuhizi mpaka asbh wanatoka wote wanaenda kazin nahisi ni mfanyakaz mwenzake. Angalien sana nyie mnaowaacha wake zenu, mnalipa kodi wahuni wanakuja lala na kuoga kabisa na mkeo analiwa vizuri tu. Kwa dizain hii SIOI
Acha wivu, wewe ndo balozi wa nyumba kumi au mlizi wa huyu mama "mind your bussiness plz"
 
Dogo acha shughuli ya ubea haikupeleki kokote, wewe mwanamke analiwa inakuuma nn? Huezi jua mme wake nae anaweza akawa na michepuko ya kutosha.
 
Acha wivu, wewe ndo balozi wa nyumba kumi au mlizi wa huyu mama "mind your bussiness plz"

Wivu wa nini tena mkuu? Me nawambia wenye tabia ya kuacha wake zenu mnasafiri mnaawacha hayo ndo mambo wanayofanya
 
Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu. Mume wa huyu dada ni wa masafa sana akirud anakaa kidogo anasepa dada ndo anatumia opportunity vizuri kuna boya ndo analala nae sikuhizi mpaka asbh wanatoka wote wanaenda kazin nahisi ni mfanyakaz mwenzake. Angalien sana nyie mnaowaacha wake zenu, mnalipa kodi wahuni wanakuja lala na kuoga kabisa na mkeo analiwa vizuri tu. Kwa dizain hii SIOI
Mkuu, taarifa zote ulizoziweka kwenye huu uzi zinalandana na mazingira yangu,

Hivyo nipo njiani narudi nyumbani bila taarifa kwenda kutengeneza fumanizi la uhakika.

Ahsante kwa taarifa.
 
Duuh kwamba ww ndo jiran angu
 
Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu. Mume wa huyu dada ni wa masafa sana akirud anakaa kidogo anasepa dada ndo anatumia opportunity vizuri kuna boya ndo analala nae sikuhizi mpaka asbh wanatoka wote wanaenda kazin nahisi ni mfanyakaz mwenzake. Angalien sana nyie mnaowaacha wake zenu, mnalipa kodi wahuni wanakuja lala na kuoga kabisa na mkeo analiwa vizuri tu. Kwa dizain hii SIOI
Hahahaha eti sioi baki hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom