Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,070
Ujumbe wa J2.
Mwanamke popote ulipo mruhusu Mume wako aishi mkumbushe kuishi hiyo ni haki yake ya msingi anastahili kuishi
Kuna wanaume wanatia huruma anakuwazia mema anatumia kila alicho nacho kwa ajili yako wewe na watoto na hajali kuhusu yeye ilimuradi wewe na watoto wake mnafuraha mnapata mnachotaka yeye anaridhika.
Kuwa karimu kwake kwa kumsisitizia KUISHI Tupunguze ubinafsi aseee na wao wanahitaji kufanyiwa kila mazuri unayofanyiwa.
Usisahau kununua kitabu cha Mwandae mtoto wa kiume kuwa mwanaume