Nyie mabinti vipi?

Nyie mabinti vipi?

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
216
Utakuta umempata demu siku ya kwanza tu , atakwambia oh me nna vidonda vya tumbo maharage situmii , lakini ukimpeleka kwa mpemba anakula kihepe kuku na pilipili kibao !

Tena utaskia me mama hataki ntembee usiku , ukipita kwao usiku wamkuta sa 5 yuko nje na wambeya wenzake....

Atakwambia baby me spendi mapenzi ya uongo sababu nshawahi tendwa , ukichunguza ye ndo kamtenda mpenzi wake kwa kukukubali wewe ,

oh darly me spendi kushare love na mtu kumbe ye ana mabwana wa nne ! Hivi nyi mkoje ?
 
Hivi na we upoje si umuulizee kwan si tunamjuaaa ,sie wengine hatupo hivyoo
 
bongo movie hizo....full maigizo..
 
aiseee chalii ni pouwa sana..... chalii embu muulize huyo demu wako aisee... na acha ushushu aisee
 
Usikariri sio wote
That's its ur type u get cos na wewe upo kama yeye...
 
napita..

avatar59140_3.gif
 
Ukweli ni kwamba, ukitaka kumuelewa mwanamke kila kitu utaweza kuwa chizi au ukajifunza kumpenda mpya. That why maandiko ya dini yanasema tuishi nao kwa akili na maharifa.
 
wewe ni mwigizaji kwahiyo unakutana na waigizaji wenzio
 
Utakuta umempata demu siku ya kwanza tu , atakwambia oh me nna vidonda vya tumbo maharage situmii , lakini ukimpeleka kwa mpemba anakula kihepe kuku na pilipili kibao !

Tena utaskia me mama hataki ntembee usiku , ukipita kwao usiku wamkuta sa 5 yuko nje na wambeya wenzake....

Atakwambia baby me spendi mapenzi ya uongo sababu nshawahi tendwa , ukichunguza ye ndo kamtenda mpenzi wake kwa kukukubali wewe ,

oh darly me spendi kushare love na mtu kumbe ye ana mabwana wa nne ! Hivi nyi mkoje ?

Ukiondowa hayo mawili ya juu yaliyobaki tunashare kike kwa kiume!
 
Utakuta umempata demu siku ya kwanza tu , atakwambia oh me nna vidonda vya tumbo maharage situmii , lakini ukimpeleka kwa mpemba anakula kihepe kuku na pilipili kibao !

Tena utaskia me mama hataki ntembee usiku , ukipita kwao usiku wamkuta sa 5 yuko nje na wambeya wenzake....

Atakwambia baby me spendi mapenzi ya uongo sababu nshawahi tendwa , ukichunguza ye ndo kamtenda mpenzi wake kwa kukukubali wewe ,

oh darly me spendi kushare love na mtu kumbe ye ana mabwana wa nne ! Hivi nyi mkoje ?

Mademu wa uswazi hao na bongo muvi....!!
 
Ukweli ni kwamba, ukitaka kumuelewa mwanamke kila kitu utaweza kuwa chizi au ukajifunza kumpenda mpya. That why maandiko ya dini yanasema tuishi nao kwa akili na maharifa.

Halafu kumbuka huyo mwanamke sio supermarket kwamba utapata kila kitu hapo
 
Nilipokuwa kikazi Temeke mwaka jana wasichana wote 9 niliokutana nao waliniambia habari inayofanana:"Hawawezi nikubali mapema maana ni week ya jana tu mwanamme wake aliyekaa nae kwenye mahusiano kwa miaka zaidi ya 6 kaoa bila kumuambia"
Nikarudi Kyela na jibu langu kamili kuwa wasichana wa Temeke ni waongo mno lol
 
Utakuta umempata demu siku ya kwanza tu , atakwambia oh me nna vidonda vya tumbo maharage situmii , lakini ukimpeleka kwa mpemba anakula kihepe kuku na pilipili kibao !

Tena utaskia me mama hataki ntembee usiku , ukipita kwao usiku wamkuta sa 5 yuko nje na wambeya wenzake....

Atakwambia baby me spendi mapenzi ya uongo sababu nshawahi tendwa , ukichunguza ye ndo kamtenda mpenzi wake kwa kukukubali wewe ,

oh darly me spendi kushare love na mtu kumbe ye ana mabwana wa nne ! Hivi nyi mkoje ?

Dogo kumbe ulikuwa hujui? Mwanamke akikwambia kitu ujue ni kinyume chake siku zote! Mfano,Akikwambia ujue sipendi kuliwa 07 1 ujue anataka! Akikwambia sikupendi ujue anakupenda,wewe jikamatie ukale na kutafuna.
 
Back
Top Bottom