Nyie mabinti vipi?

Nyie mabinti vipi?

kila jibu huendana na mtu aliyepewa hilo jibu na approach aliyoanza nayo huyo mto kwa mtoto wa kike..

sio kila mwanaume anaemtongoza mtoto wa kike hupewa majibu ya namna hiyo..

kwa mantik hiyo, girls' behaviours, varies according to the man's appearance..

kwanza tuambie, umemtongoza kwa nia gani?
 
Back
Top Bottom