Nyie mabinti nisikilizeni

Nyie mabinti nisikilizeni

hiv bado kuna WAPUMBAVU wanaendeshwa kwenye mapenzi?🤔😳😳
 
Kupenda hela sio tatizo,bali hawa wa siku hizi wamepitiliza WANAENDEKEZA hela mpaka wamepoteza utu, halafu cha ajabu hata wakipewa wanaenda kucheat kwa wahuni tu ambao hawana kitu. Kuna Podcast moja US kulikuwa na lundo la mabinti na mbibi mmoja,kila binti alikuwa anataka mwanaume mwenye fedha,mara amfanyie hiki ampeleke huku. Yule mbibi aliwasikiliza,baadae akawauliza "......mnataka mwanaume mwenye hela,akufanyie hiki kile akupeleke sehemu za gharama......je wewe unakipi cha pekee ambacho utampa hiyo mmeo ambacho hujawahi kumpa mwanaume yoyote.........",wote walikaa kimya,sababu wengi wao kwenye hicho chumba walikubali kwamba wana body counts za kutisha, washapiga threesome sijui na wengine wanampaka Onlyfan account.Hata ukifuatilia sana mabinti wengi wa siku hizi ukisema uwafilter kwa kigezo tu cha body counts, watakao faulu sizani kama watazisi asilimia thelathini,ila sasa wanavyo penda hela duu.

Kupenda pesa hamkatazwi,ila wengi wenu hamna utu mnaendekeza fedha inafika kipindi mpaka unashindwa kumtofautisha na malaya.Mahusiano mengi ya uchumba na hata ndoa kuna wanaume wanauziwa ngono na wenza wao.Mwanaume akipitia changamoto za kiuchumi,basi nyumbani ugomvi, mapenzi yanapungua na mara nyingi hifikia hata kutengana.Yaani baada ya kuwa faraja kwa mmeo unakuja kuwa mwiba kwake.

Wanawake wengi wa siku hizi hawapo tayari kuviishi viapo vya ndoa, japo wanalilia sana kuolewa ila hawawezi kuishi vile viapo vya ndoa.
 
1. Wanawake ni wabinafsi sana. Wakiwa na chochote ni chao..

2. Wanaume tukipata tu vihela kidogo tunakimbilia kuwaita wanawake tutumie nao. Tukiishiwa, wanawake wanarejea kwenye no 1 hapo juu.

Mtu hajijali, hali vizuri, hapendezi. Kutwa kuhonga. Ndomana wanawake wanaendelea kusumbua.

Wakiachwa wafe na njaa, akili zitawakaa sawa na kuthamini kile kidogo kinachotolewa na wanaume.
 
Back
Top Bottom