The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Vijana wa kiume wengi wanateseka sana, lakini nyie wabinti hamuwezi kujua kwasababu mnaangalia tu ni vipi atakujali na kukuhudumia.
Wengi wanafikria vile atakupeleka out, akuvalishe, akupe hela ya kusukia nywele na kadhalika.
Mabinti wengi wanaangalia tu furaha yao, lakini hawajiulizi huyu mwanaume wangu anapitia nini?
Kutunzwa tu ndio ajenda yao kuu.
Huyo kijana unaemuita mpenzi wako labda ana msongo wa mawazo hata huwezi kushughulika nae upo bize na mambo yako.
Huwezi hata kumtia moyo, wewe unaangalia tu yeye akupe furaha.
Mapenzi si kutunzwa pekee, ukimpenda kijana wa watu hakikisha unajua anayoyapitia, msaidie huyo kijana.
Sio lazima umpe pesa, maana wengi mnadhani kumsaidi mpaka umpe pesa.
Kuna wengine wanahitaji tu MANENO ya kumtia HAMASA kutoka kwako.
Lakini mabinti wengi wenu kitu pekee mnachangia kwenye mahusiano ni SEX tu.
Ebu jiulize, mbali na kumpa hiyo kitu,( sex) kuna pahali pengine unamsaidia Kwenye maisha?
Wengi hamna kitu mnachangia kwenye maisha ya huyo kijana.
Baadae unaanza kulalamika kuwa kijana hakushirikishi mambo yake.
Atakushirikisha vipi wakati huna hoja yeyote ile wewe kutwa ni kulalamika njaa utadhami MCHWA.
Wengine hata ukiwaambia shida unazopitia jibu kubwa utakalolipata kutoka kwao ni swali "kwahiyo utafanyeje mai wangu?" ama "Mungu atakusaidia tu usijali" ama huo ndo uanaume pambana 🥲
Vijana wanapitia misukosuko huko kwenye mihangaiko lakini bado mtu ambaye alitegemea awe chachu ya yeye kupambana anakuwa ni chanzo cha kumkatisha tamaa na kumrudisha nyuma.
Mabinti tafadhali, muwe wapenzi BORA, kama hamuwezi achaneni kabisa na mapenzi mnawasumbua vijana😥
Maana mwanaume anapo tafta mwanamke moja ya hitaji lake ni kurahisishiwa maisha yake.
Sas anakuwa na wewe maisha yake yanazidi kuwa magumu.
Unaomba hela kuliko hata ombaomba wenyewe mnazingua sana.
Kama unazo hizo tabia badilika kuanzia sasa, unalalamika kila mahusiano yanavunjika.
Punguza njaa na tamaa, utavutia watu wazuri.
Siku ya pili tu ya mahusiano kifurushi kinaisha, sasa kama huwezi kujimudu ata kununua vocha ya buku itakuwaje.
Mwanamke ukiwa na pesa zako automatic utakuwa na mapenzi ya dhati.