Mbona hilo halijaanza leo, lipo miaka yote na mkifika sehemu hatarishi kwao abiria hushushwa na kuandishwa bidaboda wavushwe kisha kurejea ndani ya basi.Basi hizi kutoka Moro Dar zimeanza kusimamisha abiria kama kwenye daladala.
Hiu kuna kampuni 1 hivi hawatanisahau, ila wao.ilikuwa ni ile ya kuvushwa mizani, aisee niliwaambia huo ujinga sifanyi fanyieni wajinga wenzenuMbona hilo halijaanza leo, lipo miaka yote na mkifika sehemu hatarishi kwao abiria hushushwa na kuandishwa bidaboda wavushwe kisha kurejea ndani ya basi.
Urefu wa kamba konda na derevaBasi hizi kutoka Moro Dar zimeanza kusimamisha abiria kama kwenye daladala.
Wewe ndo uulizwe ushawahi kupanda? Maana sio swala geni hiloPole sana Kiongozi
labda niulize; unasafiri hiyo route ya Morogoro kwenda dar mara ngapi kwa wiki au mwezi? Nafikri tuanzie hapo
Ninachomaanisha ni kuwa, huwezi kusema Biashara ya mtu vibaya kumbe pengine kati ya mabasi 30 yanayofanya hiyo route kutokea moro kwenda dar kwa wiki ni Dereva/konda mmoja au wawili wamefanya hivyo.
Labda ungekuwa specific kwa kulitaja hilo Bas ili uongozi wake ulifuatilie
Naogopa sana kuharibu Brand ya mtu kwani najua ilivyo vigumu kujenga jina.....
WAFANYA BIASHARA WATANIELEWA!!!