mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
😛eep:ninavyoijua mimi, Clouds FM ni Entertainment Radio, imeanzishwa kwa ajili hio. kwa hio hayo uliyoyasikia yachukulie kama Entertainment buraza.
Chukulia powa bro....ktk life tunahitaji kukosorewa "constructive critisms" ili kupiga hatua mbele!!
Swadakta Braza K, ni viburudisho hao, wanajitahidi sana kukosoa kwa kuponda. Wako vizuri na wana fursa kubwa ya kusikika popote watakapo. Redio bwana, watakutangaza kisha ukitaka kujisafisha hawakupi muda.ninavyoijua mimi, Clouds FM ni Entertainment Radio, imeanzishwa kwa ajili hio. kwa hio hayo uliyoyasikia yachukulie kama Entertainment buraza.
Swadakta Braza K, ni viburudisho hao, wanajitahidi sana kukosoa kwa kuponda. Wako vizuri na wana fursa kubwa ya kusikika popote watakapo. Redio bwana, watakutangaza kisha ukitaka kujisafisha hawakupi muda.
Hivi? hakuna njia ya kuwakosoa hawa jamaa? Wana upogo mwingi sana, JF wanaiangalia kwa mbali, napendekeza ianzishwe redio ya kuwakosoa watangazaji wa Redio wanaopitiliza mipaka katika kutoa au kutangaza habari.