Ukijua kuweka maelfu, mamia, makumi na moja kwenye makundi yake hupati tabu
11,000 Inatakiwa isomwe kumi na moja elfu.
10,001 Inatakiwa isomwe elfu kumi na moja
Idadi ya sifuri mbele ndio inayodetermine Elfu, mia, kumi na moja
0000. 000. 00. 0
Elfu. Mia. Kumi. Moja
AU
0-9 10-99 100-999
Mamoja. Makumi. Mamia