Nyerere's philosophy is over

Nyerere's philosophy is over

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,092
Could Nyerere's 60th and 70th philosophy run this modern economy speed? #hasa katika ulimwengu huu wa utandawazi na openness?

NB:- Kweli ni busara kila jambo kunukuu kauli zake, ukizingatia naye alikuwa ni mwanadamu na sifa za mwanadamu ni Hasira, Chuki, Hekima, Busara na mengine mengi.
 
Unataka falsafa ya Lowassa?

kiongozi, kila jambo Nyerere alisema au Nyerere hakusema hivyo! Nyerere hakupenda hilo au Nyerere alisema tumwogope huyu kama ukoma! Are we blind that we can't see?
 
niqqas hoe Ulitaka Tumnukuu JK aliyesema tumwache fisadi papa mmoja apumzike?
 
Last edited by a moderator:
JE NI KWANINI ALIZUIWA WATU KUTOKA KANDA ZA BUKOBA KILIMANJARO KUWA NI MARUFUKU NA MWIKO KUSHIKA TOP POST/

NI MUDA SASA WA KUACHANA NA BAADHI YA TARATIBU AMBAZO TUNAONA ZIMEPITWA NA WAKATI ILI HATIMAYR WATANZANIA KWA UJUMLA WAKE TUSONGE MBELE ii
 
Huoni hapo ww...DIRA YA MWALIMU NYERERE....afu wengine ni watu wa makamo na mlikuwepo wakati huo nyerere yupo...kwa nini sasa hayupo ndo mnaanza criticism...sasa kama mnaongea hayo maneno kwa kuwa mnajua kuwa mwalimu hayupo..
tupo wakina mwalimu wapya tutawashughulikia tuuu....
 
kiongozi, kila jambo Nyerere alisema au Nyerere hakusema hivyo! Nyerere hakupenda hilo au Nyerere alisema tumwogope huyu kama ukoma! Are we blind that we can't see?
Nafikir ni kwasababu n rais wa kwanza wa tz na aliongoza kipindi ambacho taifa halikuwa na wataalam wa kumkosoa na hata km walikuwepo waliogopa kufanya hvo kwa kuhofia usalama wao hvo usishangae sana
 
Nafikir ni kwasababu n rais wa kwanza wa tz na aliongoza kipindi ambacho taifa halikuwa na wataalam wa kumkosoa na hata km walikuwepo waliogopa kufanya hvo kwa kuhofia usalama wao hvo usishangae sana
mkuu watu waoga ndo wanaangamiza mataifa kama haya yanayoendelea, mtu ambaye yuko strong yuko tayari kutiwa gerezani hata kufa kwa ajili ya jamii yake, hawa waliokuwepo enzi za mwl. na wakakaa kimya sio watu wa kuwasikiliza wamekosa hoja hawana uzalendo wowote ule na nchii hii.....wangejifunza kutoka kwa madiba
 
Vilaza bado wapo nchi hii...! Elimu yawatuwazima ikazaniwe..!
 
Back
Top Bottom