Nyerere Tusamehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere Tusamehe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Prince T, Oct 14, 2010.

 1. P

  Prince T New Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Japo leo hii Mwalimu U marehemu na UNAwalaumu Watanzania kwa kupuuza ushauri wake kuhusu Kikwete na Lowassa MWAKA 1995……MWALIMU NYERERE NGOJA NIKWAMBIE..moja ya watu ambao ….kufa kwa KWAKO kumefanya leo wawe na madaraka ni KIKWETE NA LOWASA…..WATANZANIA YATUPASA KUKUENZI KWA KUOMBA MSAMAHA KWA KUTOTII USHAURI WAKO ILA KWA …KUWA TULIKUWA HATUJUI TULITENDALO….SASA TUNAJUTA ………NAKUAHIDI ……WIKI MBILI ZIJAZO …..TUTAKUENZI KWA KUWAONDOA WALE AMBAO ULIWAKATAA…..[/FONT]
  [FONT=&quot]MWALIMU pia uwasahewe wale ambao wanatetea kila uchafu wa chama cha CCM kwa kuwa tu ….wanapewa vijisenti……wengine wanapewa hela ya kula tu….wengine ni ahadi ambazo ni hewa[/FONT]
  [FONT=&quot]Nyerere naomba nijue kutoka kwako…je wakati ule wa uhuru wewe ulikuwa na uzoefu wowote wa kuongoza nchi??????…..si ulikuwa MWALIMU wa sekondari…tu ..WALA HUKUWA MWALIMU BORA KULIKO WOTE PALE PUGU……kwanini walifikiri unafaa kuongoza nchi wakati hukuwa mwalimu bora..je kulikuwa hakuna wasomi zaidi yako…..jibu hapana…..NAAMINI ULIPEWA NCHI SIMPLY KWA SABABU ULIKUWA MZALENDO NA ULIONYESHA UZALENDO WAKO KWA VITENDO…..jambo ambalo JK mpya kashidwa….[/FONT]
  [FONT=&quot]Nina kila sababu ya kumpa kura yangu Yule ambaye ameoyesha UZALENDO kwa watanzania….lakini pamoja na hayo kumekuwa kuna kampeni za maji taka eti huyo mgombea katumwa na kanisa….WAISLAMU WOTE ….WAMEASWA KUPITIA GAZETI LA ANNUR LA IJUMAA ILIYOPITA KUTOMPIGIA KURA KAFIRI…..JE NYERERE HILO NI SAWA….SIASA ZA HIVI NI SAWA ???????.....[/FONT]
  [FONT=&quot]MIMI SIJUI KAMA WANAKUENZI AU WANAAZIMISHA KIFO CHAKO……AU WAFURAHIA KIFO CHAKO…NAJUA MAFISADI WENGI WANAFURAHI UMETANGULIA MBELE YA HAKI….KWA KUWA SASA HAKUNA MTU WA KUWAKEMEA…..[/FONT]
   
Loading...