Haya ni mawazo mazuri sana, atakayepinga mawazo haya nitamchapa bakora kama yule CCM wa kongwa aliyezimia kwa viboko8
Chuo kikuu cha Chato nacho kinakuja,Mkuu nyerere usimulaumu kwa kutojenga Musoma ,mlaumu kwa kutuachia ccm na katiba hii mbovu ambayo inatoa mianya ya watu wachache kuamua kila kitu ndo maana tunapata viongozi wa hovyo kama tulionao leo,wewe jiulize Kama kila rais angeamua kukusanya kodi za watanzania na kujenga kwao maana yake mikoa zaidi ya 24 ambayo haijapata nafasi ya kutoa rais ingekuwa gizani totoro.Huyu tuliyenae ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania na hapaswi kuigwa kwa lolote
Kuna shida gani haya yakifanyika huko Chato? Au ulitaka yafanyike Marangu? Sielewi watanzania wanavyolalamika maendeleo chato, kama ni maendeleo chato nayo ina deserve maendeleo, sioni shida ya huo uwanja, sababu tayari utatumika strategically kama uwanja wa mkoa wa geita piaYaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22
Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja
Ulikua na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.
Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.
Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa
Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala.
Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?
Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
Pamoja Mkuu nimekuelewa sana8
Chuo kikuu cha Chato nacho kinakuja,Mkuu nyerere usimulaumu kwa kutojenga Musoma ,mlaumu kwa kutuachia ccm na katiba hii mbovu ambayo inatoa mianya ya watu wachache kuamua kila kitu ndo maana tunapata viongozi wa hovyo kama tulionao leo,wewe jiulize Kama kila rais angeamua kukusanya kodi za watanzania na kujenga kwao maana yake mikoa zaidi ya 24 ambayo haijapata nafasi ya kutoa rais ingekuwa gizani totoro.Huyu tuliyenae ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania na hapaswi kuigwa kwa lolote
Kwa sababu sioni hata sababu ya kupinga hayo maendeleo, mtu anaongelea traffic light , as if hajui traffic light zinatakiwa kuwepo kila sehemu kwenye watu wanapivuka, ni ushamba kufikili traffic light zinatakiwa kuwepo kwenye miji tu, kuhusu uwanja wa ndege , mkoa wa geita wote hauna uwanja wa ndege , pia pale kuna mbuga ya wanyama ya rubondo na hiyo bigiri obviously watalii watafika tu kwa kutumia huo uwanja.nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.
mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.
Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.
Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
Hivi hebu fikili Kama kila kiongozi anaeingia madarakani lazima avutie kwake itafika Wakati tutachinjana kwa kupigania uongozi ili nasi tupate. Uongozi utakua WA damu na jasho jambo ambalo ni hatari Sana kwa mstakabali wa nchi yetuKuna shida gani haya yakifanyika huko Chato? Au ulitaka yafanyike Marangu? Sielewi watanzania wanavyolalamika maendeleo chato, kama ni maendeleo chato nayo ina deserve maendeleo, sioni shida ya huo uwanja, sababu tayari utatumika strategically kama uwanja wa mkoa wa geita pia
Haya maelezo yako ni ya uongo sana, eti kila Rais, hivi hizo barabara za lami zinazojengwa kila kona ya nchi hii kuna marais na huko? Mtwara iringa wanajenga uwanja mkubwa tu wa ndege, katavi wamejenga kwann chato ambayo ipo mkoa wa geita wasijenge? Utasema wangejenga geita, geita hamna eneo pale ni milima tu, labda wangejenga kuelekea Mwanza ndio unaweza pata eneo la kujenga uwanja wa ndege, sababu ndio utapata maeneo tambalale. Suala la katiba hilo nakuunga mkono , nyerere hapo alichemka.8
Chuo kikuu cha Chato nacho kinakuja,Mkuu nyerere usimulaumu kwa kutojenga Musoma ,mlaumu kwa kutuachia ccm na katiba hii mbovu ambayo inatoa mianya ya watu wachache kuamua kila kitu ndo maana tunapata viongozi wa hovyo kama tulionao leo,wewe jiulize Kama kila rais angeamua kukusanya kodi za watanzania na kujenga kwao maana yake mikoa zaidi ya 24 ambayo haijapata nafasi ya kutoa rais ingekuwa gizani totoro.Huyu tuliyenae ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania na hapaswi kuigwa kwa lolote
Mwalimu atakumbukwa daima kwa kutokuwa mlafi wala mbinafsi.Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22
Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja
Ulikua na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.
Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.
Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa
Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala.
Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?
Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
Kuvutia kwake wapi kiongozi? Plan ya serikali kila mkoa uwe na kiwanja cha ndege, madini yote hayo worthy billions yanayotewa na mkoa wa geita kwanini wasiwe na uwanja wa ndege? Imagine Dar es Salaam imeendelea kwa kunyonya mikoa mingine, Mkoa wa mwanza hauna hata uwanja mzuri wa ndege , unajua mchango wa mkoa wa mwanza kwenye pato la taifa since independence?Hivi hebu fikili Kama kila kiongozi anaeingia madarakani lazima avutie kwake itafika Wakati tutachinjana kwa kupigania uongozi ili nasi tupate. Uongozi utakua WA damu na jasho jambo ambalo ni hatari Sana kwa mstakabali wa nchi yetu
Ametoa mfano mbaya Sana kwa vizazi na uongozi unao kuja
Mwenzio kafanya satire una act bila kuprescribe.nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.
mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.
Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.
Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
ila alishindwa kuacha katiba nzuri kama mandelaMwalimu atakumbukwa daima kwa kutokuwa mlafi wala mbinafsi.
Mwalimu alijenga misingi ya kitaifa ambayoimewashinda marais wengi Afrika.
Mwandishi ameiwasilisha taarifa yake , kinyume nyume, ndo maana mwisho wa taarifa yake Kamuombea marehemu REHEMA kwa Mungu.nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.
mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.
Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.
Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
Bwana tusidanganyane Kama kweli umeangalia kwa upana huo why not geita iwe chato?Kwa sababu sioni hata sababu ya kupinga hayo maendeleo, mtu anaongelea traffic light , as if hajui traffic light zinatakiwa kuwepo kila sehemu kwenye watu wanapivuka, ni ushamba kufikili traffic light zinatakiwa kuwepo kwenye miji tu, kuhusu uwanja wa ndege , mkoa wa geita wote hauna uwanja wa ndege , pia pale kuna mbuga ya wanyama ya rubondo na hiyo bigiri obviously watalii watafika tu kwa kutumia huo uwanja.
Mwanaume halalamiki Kama mwenzako alikosea ni wakat wako kuyafanya hayo ,alipo ishia wewe anzia hapoYaani ulikua nd deani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22 Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja Ulikua na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa. Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje. Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala. Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?
Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.
mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.
Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.
Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
Umenisoma vizuri sio kuwa namlaumu Nyerere Bali nilitaka kuonyesha utofauti wa uongozi kwa ajili ya watu na uongozi kwa ajili ya mtu mbinafsiMwandishi ameiwasilisha taarifa yake , kinyume nyume, ndo maana mwisho wa taarifa yake Kamuombea marehemu REHEMA kwa Mungu.