Ji habari reeeefu halisomeki, wala sina muda wa kulisoma, kwa kifupi:
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga
Kwa hiyo Yat -Sen wa China, Carlos Cespedes wa Cuba na Mahatma Ghandi wa India wote wameitwa mama Baba wa Taifa kwa ajili ya Ukatoliki?Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Mchambuzi!
Naunga mkono hoja ila next time jaribu kufupisha hii ni ndeefu sana!
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
hakika wewe ni great thinker!
sasa ngoja tusubiri mitazamo ya kina FF,RITZ,MS,REJAO ili tujue nao wana maoni gani
Ukichunguza sana na kwa makini,wanaombeza na kusambaza chuki kwa Hayati baba wa Taifa hapa JF ni wale wapenzi wakubwa na watetezi wa CCM na utawala wa Awamu ya nne. Tujiulize kwa nini ni hivyo?Mimi uwa nawashangaa watu wanaomzungumzia mwalimu Nyerere kwa mabaya..ni kweli alikuwa na mapungufu tena makubwa,lakini alifanya makubwa sana kwa nchi hii....alikuwa tayari kufa kwa Taifa hili.
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Ji habari reeeefu halisomeki, wala sina muda wa kulisoma, kwa kifupi:
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga
Wasi wasi wangu ni kwamba umeunga hoja mkono pasipo kuisoma, na kama umeisoma basi utakuwa umeishia kwenye para ya kwanza. Jitahidi kuisoma hadi mwisho ili uone hoja za mchambuzi, zimekaa kisomi sana.
Hata hivyo mchambuzi alianza kwa kututaka tuwe wavumilivu lakini naona wewe uzalendo umekushinda.
Back to the topic, ninachoweza kusema ni kimoja tu mkuu, kama kuna watu ama mtu alikuwa anabebwa na mafuriko ya kumkejeli ama kumkashifu Nyerere akilisoma hili andiko with open mind atajifunza vitu vingi na hawezi kubaki kwenye msimamo wa kumbeza mwalimu.
Lakini kwakuwa kuna watu wako kazini kumchafua mwalimu ili kujaribu kuficha madhaifu yao, usishangae watazidi kushupaza shingo zao.
Kuna mtu aliwahi kusema JK hamuiti mwalimu BABA WA TAIFA. Kuna kaukweli? (of coz sioni kosa kama hamuiti hivyo)
Mchambuzi; salute! I don't get emotional easily this one just moved me. I thought tumebakia wachache sana wenye heshima isiyotisikwa kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere. Its a classic piece of such an intellectual caliber, thought-provoking, and jaw-dropping proposition. Tatizo ni kuwa vita dhidi ya Nyerere inaendeshwa kwa makusudi na makusudi ni kuhalalisha uhalifu na ufisadi unaofanywa sasa hivi. Wao wanaamini Nyerere anasimama kama Mleta mashtaka dhidi yao na njia pekee ni kujaribu kumdestroy Nyerere and his legacy.
ETI BABA WA TAIFA !!!!!!!! kuna mijitu inapenda kutukuza mtu eti wanampa heshima huko aliko hana heshima hata kidogo heshima yake iliisha siku alipo pigiwa mizinga 12 baada ya hapo hana heshima tena na ndio maana wana sema watu wakatoe heshima zao za mwisho lakini kwa upande mwingine nisiwalaumu kwasababu hata yesu mulimpa heshima kuwa yeye ni mungu kwahiyo huu ni muendelezo