VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Mzee Tupatupa
Umesema huwa unawaza mpaka kichwa kinakuuma?
Kwa kweli fikira zako ndio mwisho wake hapo!
tulifanya mambo mengi sana,.mengine mazuri mengine ya kijinga,tatizo lenu mnaacha mazuri mnachukua ya kijinga-jk nyerere
tulifanya mambo mengi sana,.mengine mazuri mengine ya kijinga,tatizo lenu mnaacha mazuri mnachukua ya kijinga-jk nyerere
tulifanya mambo mengi sana,.mengine mazuri mengine ya kijinga,tatizo lenu mnaacha mazuri mnachukua ya kijinga-jk nyerere
kila nikitafakari kilichofanyika kwenye muungano bado nakosa jibu. Nilijiunga ccm mwaka 1980 nikiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu cha dar es salaam.wakati huo,ccm ilikuwa chini ya uenyekiti wa baba wa taifa,mwl. Julius kambarage nyerere. Mambo ya nyerere bado siyaelewielewi.
Mwaka 1964,nikiwa na umri wa kutosha lakini wa ujana,nilishuhudia muungano huu wa sasa. Nilishuhudia kuchanganywa udongo wa jamhuri ya tanganyika na jamhuri ya watu wa zanzibar. Udongo huo ukaua nchi husika. Ukazaa nchi moja: Tanzania. Ilikuwa ni tarehe 26/4/1964,miezi mitatu baada ya mapinduzi ya zanzibar.
usanii
nyerere aliiua kabisa tanganyika na kuiacha zanzibar ndani ya tanzania. Tanganyika ikabatizwa jina la tanzania bara. Kemia aliyotumia nyerere ndiyo inayonichanganya. Muungano huu ulikuwa wa namna gani ikiwa nchi sasa zimekuwa tatu huku moja ikiwa imekufa? Yaani, tanganyika+zanzibar=tanzania + tanzania bara+zanzibar.ukitaka kuziona nchi hizi tatu ni rahisi. Fuatailia challenge kule uganda halafu subiria michuano ya kombe la dunia au mataifa ya afrika. Utaziona timu za tanzania bara,zanzibar na tanzania.pia,angalia serikali zilizopo.kuna wizara za tanzania,zipo za zanzibar na pia za tanzania bara. Kwa mfano,kuna wizara ya miundombinu ya tanzania bara na ile ya zanzibar.hakuana ya tanzania.
Kemia gani hii jamani? Huu si usanii uliotukuka uliofanywa na mzalendo wetu nyerere? Nini kilitokea hapa? Huwa kichwa kinaniuma
We kijana maswali magumu namna hiyo humu huwa hayaulizwi,,,,,,we waulize wazanzibar watakujibu lakini hawa vijana wagonjwa wa chademaliasis wanaugonnjwa wa kupenda chongo huita kengeza
Samaani lakini Mzeeee !!!!!!!!! [natumia usemi wa kijana mwenzangu elmaalufu kama Mzee wa gossip Soud Cop] kwa ulivyojieleza wewe una umri wa kunizaa.Hivyo kwa heshima hiyo nastahiki kutumia lugha ya staha japo swali lako na kwa umri wako naona da wakati mwingine ndio maana tupo hapa tulipofika kwa kuwa mimi leo namwelewa Mwalimu japo pia kuna yale nayoyakubali na kunaninayayo pishana nayo toka kwake, lakini nakubaliana nae kwa mengi japo mimi ni muumini wa bidii binafsi ila zisizoegmea dhuluma.Kila nikitafakari kilichofanyika kwenye muungano bado nakosa jibu. Nilijiunga CCM mwaka 1980 nikiwa mwaka wa mwisho Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Wakati huo,CCM ilikuwa chini ya Uenyekiti wa Baba wa Taifa,Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Mambo ya Nyerere bado siyaelewielewi.
Mwaka 1964,nikiwa na umri wa kutosha lakini wa ujana,nilishuhudia Muungano huu wa sasa. Nilishuhudia kuchanganywa udongo wa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Udongo huo ukaua nchi husika. Ukazaa nchi moja: Tanzania. Ilikuwa ni tarehe 26/4/1964,miezi mitatu baada ya mapinduzi ya Zanzibar.
Usanii
Nyerere aliiua kabisa Tanganyika na kuiacha Zanzibar ndani ya Tanzania. Tanganyika ikabatizwa jina la Tanzania Bara. Kemia aliyotumia Nyerere ndiyo inayonichanganya. Muungano huu ulikuwa wa namna gani ikiwa nchi sasa zimekuwa tatu huku moja ikiwa imekufa? Yaani, Tanganyika+Zanzibar=Tanzania + Tanzania Bara+Zanzibar.Ukitaka kuziona nchi hizi tatu ni rahisi. Fuatailia Challenge kule Uganda halafu subiria michuano ya kombe la dunia au mataifa ya Afrika. Utaziona timu za Tanzania Bara,Zanzibar na Tanzania.Pia,angalia Serikali zilizopo.Kuna Wizara za Tanzania,zipo za Zanzibar na pia za Tanzania Bara. Kwa mfano,kuna Wizara ya Miundombinu ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar.Hakuana ya Tanzania.
Kemia gani hii jamani? Huu si usanii uliotukuka uliofanywa na mzalendo wetu Nyerere? Nini kilitokea hapa? Huwa kichwa kinaniuma
Kila nikitafakari kilichofanyika kwenye muungano bado nakosa jibu. Nilijiunga CCM mwaka 1980 nikiwa mwaka wa mwisho Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Wakati huo,CCM ilikuwa chini ya Uenyekiti wa Baba wa Taifa,Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Mambo ya Nyerere bado siyaelewielewi.
Samaani lakini Mzeeee !!!!!!!!! [natumia usemi wa kijana mwenzangu elmaalufu kama Mzee wa gossip Soud Cop] kwa ulivyojieleza wewe una umri wa kunizaa.Hivyo kwa heshima hiyo nastahiki kutumia lugha ya staha japo swali lako na kwa umri wako naona da wakati mwingine ndio maana tupo hapa tulipofika kwa kuwa mimi leo namwelewa Mwalimu japo pia kuna yale nayoyakubali na kunaninayayo pishana nayo toka kwake, lakini nakubaliana nae kwa mengi japo mimi ni muumini wa bidii binafsi ila zisizoegmea dhuluma.
Daima watu wote wanao think outside the box wanajua hili:
THERE ARE THREE KIND OF PEOPLE IN THE WORLD
1: Those who make things happen [Like Mwalimu Nyerere]
2: Those who wonder what happen - kupitia kauri yako hii "kwenye muungano bado nakosa jibu."
3: Those who don't know what happen.
Mwalimu alikuwa na upeo wa kujenga kitu ambacho kinafanana na mazingira yetu kulingana na nyakati za zama husika.Na sisi wa sasa hivi tumekuwa waumini wa kucopy mambo ya wengi kwa kuwa tumesoma darasani hivyo kutufanya kuendesha mambo ya Taifa letu kwa kusoma vitabu vilivyo andikwa na watu kama theories na kuzigeuza kuwa ndio jibu kumbe tulipaswa kujifunza idea kisha nasi kuibuka na chetu kokote duniani hakipo na kipo kwetu na kimefanikiwa na kinafanya kazi, kisha wengine toka kwingine waje kujifunza ni vipi chetu kimefanya kazi.
Kawaulize Kenya walituliaje pale walipomaliza uchaguzi ulioisha na kusababisha mauji ya raia wa kenya wapatao 1000.Nini JK aliwaambia wafanye na wakafanikiwa na kumaliza tofauti zao na leo hii wanaenda uchaguzi mwingine.Sio lazima tuwe kama wao [hao wengine unaowatafuta kuona muungano wao] bali sisi na Zanzibar tunaweza kuwa sisi na wengine huko wakatushangaa kuwa imewezekanaje kwenu!!!!Nasaba za wanzaibar na watanzania bara zinajulikana,kuwa kuna wasukuma, wanyamwezi, waha, wanyakusa na wanyasa.
Watu wengi wamepotosha nakupindisha ukweli, dhumuni la mwalimu na waambata wake lilikuwa kuwa na NCHI moja tu ambayo ni Tanzania,
Zanzibar ulisimama kama mkoa tu baada ya Muungano.
Wapinga muungano wametufikisha hapa tulipo na mwisho watauvunja kabisa.
Hapa unapotosha. Ni madarasa gani hayo "maalum" unayozungumzia? Tupo wengi tuliokuwepo enzi hizo!...Na kwa wakti huo ulitakiwa kuhudhuria madarasa maalum ya kufundiswa Katiba ya chama kwa miezi Mitatu kabla kupewa kadi...
Watu wengi wamepotosha nakupindisha ukweli, dhumuni la mwalimu na waambata wake lilikuwa kuwa na NCHI moja tu ambayo ni Tanzania,
Zanzibar ulisimama kama mkoa tu baada ya Muungano.
Wapinga muungano wametufikisha hapa tulipo na mwisho watauvunja kabisa.
Uko sahihi mkuu,bila shaka nawe ulikuwa unachukua shahada ya kwanza?Nilipo RED.
Hapo ahali yangu ukusema Kweli.
Kwani miaka hiyo sote tulikuwa hapo UDSM. Haikuwezekana mwanafuzni yoyote kuruhusiwa UDSM bila kuwa mwanachama wa CCM. Na kwa wakti huo ulitakiwa kuhudhuria madarasa maalum ya kufundiswa Katiba ya chama kwa miezi Mitatu kabla kupewa kadi. Wengi tuliofanikiwa kujiunga UDSM tuliotokea maskulini moja kwa moja au katika vyuo mbalimbali tulipata mafunzo hayo tukiwa JKT kwani huko kulikuwa na PEO (Political Education Officers) ambao walitufunza na mwisho tulipewa Kadi za CCM.
Moja ya kigezo cha kujiunga na Chuo kikuu ilikuwa ni kuonyesha Kadi ya CCM. na hilo lilikuwa moja ya kigezo vile vile cha kupata Passport n.k.
Kuwa mkweli hali yangu kwani kuna wengi wanaosoma hapa.