Nyerere na Magufuli katika kusimamia Misingi ya Tanu na Misingi ya Azimio la Arusha

Pascal Ndege

Verified Member
Nov 24, 2012
2,393
2,000
Utawala wake wote wa Nyerere, alitawala wakati wasomi ni wachache sana na ulewa wa watu ulikuwa chini sana. Walikuwepo wajanja wachache tu na wengi wao walipenda kujipenda wenyewe.

Mimi nimemsikiliza Nyerere sana na kusoma shabaha za Tanu na Azimio la Arusha nimegundua nyerere alichonga Msingi wa Hii nchi na kamwe haitapotoka wala kupoteza Dira. Historia ya Hii Nchi italitafuna Taifa kweli kweli na kamwe hatatokea kidume Mkoloni mweusi juu ya Mtanzania mwenzake.

Chapa kazi Rais wangu Magufuli but nakuhurumia kwasababu mambo bado ni mengi sana najua jukumu la viwanda ni mwendelezo na kamwe hatutatosheka na viwanda vichache au vingi.

Watakuja viongozi wengi sana lakini watahukumiwa na msingi ya Taifa hili.Ngoja kesho niwapelekee wale IPTL ndoo kule sero.

I love Africa.
I love Tanzania.
I miss Nyerere.
I wish Nyerere would wake-up and see this Nation Today.
I love Magufuli.
 

Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,920
2,000
Kuchukia wapinzani 'halisi' haikuwa moja ya Tunu za Taifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom