Nyerere na dhulma kwa Zanzibar

Nyerere na dhulma kwa Zanzibar

Kocho

Senior Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
120
Reaction score
21
UNAJUA Mzee Karume alipokuwa hai alikuwa hataki masuala ya fedha na sarafu kuwa ya Muungano. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumtuma Waziri wake wa Fedha, Amir Jamal kuja Zanzibar lakini Mzee Karume alikataa kutoa fedha za Zanzibar kwenda Bara kwenye Benki Kuu. Nukuu ya Mama Fatma Karume!!!!!!!

Hii ilikuwa ni muendelezo wa Mwalimu Julius Nyerere kuwafanyia dhulma waznz haingii akilini vijipesa vya watu wachache kuviunganisha na Tanganyika hii ni aibu kubwa kwa mtu anaejifanya mtetezi wa wanyonge kwa wale wenzetu wa Tanganyika wanataka kumpa hadhi ya mtakatifu. duh inasikitisha sana, wadau naomba mjadala kwa hili je Mwalimu Aliwatendea Haki Wa Zanzibar? au Tz tunapenda tu kusifia chongo!
 
Go away!!!!

Mme faidi kodi ya watanganyika kwa miaka 50 sasa!enogh is enough
 
Yaani ulivyoposti utafikiri vile nyerere alimwambia karume:
  • Nyerere:KArume lete fedha zako nikushikie !
  • Karume:Aku ,sitaki bwana ntazihifadhi mwenyewe.
  • Nyerere Ndio hutaki eh?
  • Karume :Mi nataka ila mke wangu kasema tuzihifadhi wenyewe na nshamwambia jamal wako aende zake!

Hadi siku tutakapokubaliana kuhusiana na muungano tutakuwa tumesikia porojo nyingi tu ,haya kocho tuambie nini kilitokea tena mpaka fedha na sarafu zikaingia kwenye muungano ilhali karume alishamtimua jamal wa nyerere kuhusiana na njuruku za kizenji?
 
Zanzibar ni kama demu wa mtu mlafi wa maendeleo, yaani anataka yeye ahudumiwe kila kitu, hadi ulinzi harafu akimegwa kidogo tu anaomba hela nyingine, kuuwe watu wazima na wenye maono ya mbele kama wanaume; kelele za kupnja kila siku mbona pale mnapofaidi mnakaa kimya, umeme? bahari yetu? na samaki zake, mbona kimya???
 
tumewachuka waznz mwacheni mzee wa watu apumzike kila kukikucha nyie na nyerere tu.
 
UNAJUA Mzee Karume alipokuwa hai alikuwa hataki masuala ya fedha na sarafu kuwa ya Muungano. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumtuma Waziri wake wa Fedha, Amir Jamal kuja Zanzibar lakini Mzee Karume alikataa kutoa fedha za Zanzibar kwenda Bara kwenye Benki Kuu. Nukuu ya Mama Fatma Karume!!!!!!!

Hii ilikuwa ni muendelezo wa Mwalimu Julius Nyerere kuwafanyia dhulma waznz haingii akilini vijipesa vya watu wachache kuviunganisha na Tanganyika hii ni aibu kubwa kwa mtu anaejifanya mtetezi wa wanyonge kwa wale wenzetu wa Tanganyika wanataka kumpa hadhi ya mtakatifu. duh inasikitisha sana, wadau naomba mjadala kwa hili je Mwalimu Aliwatendea Haki Wa Zanzibar? au Tz tunapenda tu kusifia chongo!

Bado Mnasema Mzee Karume hakushiriki hayo MAPINDUZI lakini alikuwa TAYARI kupokea MADARAKA ya kuiongoza NCHI; Pamoja na kwamba alikuwa hapatani na Mohamed Babu, Umma Party

Lakini Leo hii anaonekana ndie MSAFI? kweli Umesoma Historia kamili ya MZEE KARUME? au Unaongelea kinakshi? Sasa na ni kwanini Marafiki zake wakamgeuka????
 
UNAJUA Mzee Karume alipokuwa hai alikuwa hataki masuala ya fedha na sarafu kuwa ya Muungano. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumtuma Waziri wake wa Fedha, Amir Jamal kuja Zanzibar lakini Mzee Karume alikataa kutoa fedha za Zanzibar kwenda Bara kwenye Benki Kuu. Nukuu ya Mama Fatma Karume!!!!!!!

Hii ilikuwa ni muendelezo wa Mwalimu Julius Nyerere kuwafanyia dhulma waznz haingii akilini vijipesa vya watu wachache kuviunganisha na Tanganyika hii ni aibu kubwa kwa mtu anaejifanya mtetezi wa wanyonge kwa wale wenzetu wa Tanganyika wanataka kumpa hadhi ya mtakatifu. duh inasikitisha sana, wadau naomba mjadala kwa hili je Mwalimu Aliwatendea Haki Wa Zanzibar? au Tz tunapenda tu kusifia chongo!
Mkuu umenena labda ni m PM Yericko Nyerere atupatie ufafanuzi!
 
Yaani ulivyoposti utafikiri vile nyerere alimwambia karume:
  • Nyerere:KArume lete fedha zako nikushikie !
  • Karume:Aku ,sitaki bwana ntazihifadhi mwenyewe.
  • Nyerere Ndio hutaki eh?
  • Karume :Mi nataka ila mke wangu kasema tuzihifadhi wenyewe na nshamwambia jamal wako aende zake!

Hadi siku tutakapokubaliana kuhusiana na muungano tutakuwa tumesikia porojo nyingi tu ,haya kocho tuambie nini kilitokea tena mpaka fedha na sarafu zikaingia kwenye muungano ilhali karume alishamtimua jamal wa nyerere kuhusiana na njuruku za kizenji?

Alipotimuliwa jamal nyerere hakukubali alimkill karume then akapata mwanya wa kufanya kila kitu,jumbe alijaribu kumpinga nyerere alichoambulia jumbe nafikiria unakijua.
 
MUUNGANO: Heri Tuwe Nchi Moja Serikali Moja Kama Hatuwezi Muungano wa Serikali 3!

Wakuu naomba mnisikilize:

Siungi mkono muungano wa serikali mbili kwa sababu hata tukisema tutatue kero za muungano wa haina hiyo leo; kesho zitakuja nyingine na nyingine. Kwa kifupi kero zake ni endelevu!

Mimi nadhani kilichotufanya tuungane kwanza ni kutaka kuonesha njia kwa mataifa mengine ya Afrika. Kuonesha njia ambayo baadaye ingetufikisha pale ambapo Afrika nzima ingekuwa moja. Nyerere alikuwa na haki na wajibu wa kuipoteza Tanganyika ili kuidhihirishia Afrika na dunia imani yake kwenye Muungano wa Afrika! Kipindi kile ilikuwa ni sifa kubwa sana kupigania Umoja wa Afrika.

Sababu ya pili ilikuwa ni ya kuhimarisha ulinzi na usalama kwa wakati ule!

Sababu zote hizo hapo juu hazina mashiko tena kwenye zama hizi za ubepari! Sasa kwa nini tuendelee kuishi imani zisizokuwepo!

Ikumbukwe kuwa zile juhudi za kuliunganisha bara la Afrika zilikufa hata kabla hazijafika mbali kwa sababu wengi wa waliokuwa wanaamini kwenye umoja wa Afrika walitoweka na mawazo yao!

Hata zile juhudi za kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki hazina uhai tena. Sisi ni mashuhuda wa kifo chake kitakatifu; tunasubiria tu kitangazwe rasmi siku za usoni!

Nauliza maswali hapa: Ni kwa nini kuwepo na muungano ambao mshirika mmoja anakubali kupoteza ili kumwokoa mwingine? Hata kwenye ndoa haiwezekani ndugu ni lazima walete chokochoko mwenzi mmoja akitoweka!
Eti serikali tatu haiwezekani kwa sababu Zanzibar haina uwezo! Ni kwanini nchi ijione haina uwezo wakati ilitafuta uhuru wake ili ijiendeshe?
Kama kujiendesha kwake ni kwa kutegemea taifa lingine haioni kuwa ina uhuru wa bendera tu?
Kama Zanzibar wa hofu wakiungana rasilimali zake kama mafuta n.k zitapotea; je, Tanganyika yenye gesi, mafuta, wanyamapori, makaa ya mawe, madini ndiyo iendelee kujitoa sadaka???! Basi Tanganyika itakuwa ni nchi nzuri sana ya kuishi kwa sababu haina hofu ya kuishiwa rasilimali!

Endapo atajitokeza mtu wa kuainisha pasipo shaka mipaka ya mapato na matumizi baina ya Tanzania Bara, Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nitafarijika sana! Nasema hivi kwa sababu ninachokiona mimi ni kuwa chochote kipatikanacho Tanzania Bara ni faida ya wote na cha Zanzibar ni kwa faida ya Zanzibar tu pekee.

Je, hii inaonesha kuwa Tanzania Bara inajiamini kuwa yenyewe ndiyo yenye uwezo wa gharamia serikali ya muungano na inaona fahari kufanya hivyo?! Au labda kuna masuala mengine Tanzania Bara inanufaika nayo ambayo sisi wananchi hatujui!
Je, Zanzibar nayo inaona fahari tu kuhudumiwa kila kitu kwenye muungano na wala haioni kuwa Tanzania Bara imebeba jukumu zito? Na je Zanzibar isipotimiziwa mambo kadhaa watakuwa radhi kulalamika ilhali wamebebwa katika mambo mengi?

Nionavyo mimi kama tatizo ni gharama za kuendesha serikali tatu ambazo ndo halali ni sharti tutafute mfumo wa kudumu kutatua tofauti zetu! Tukumbuke kuwa upande mmoja wa muungano umeingia gharam kubwa kuhudumia serikali ya muungano kwa zaidi ya miaka 49 sasa! Au iaonekana Tanganyika hajichoka kulea muungano na Zanzibar nayo haijachokaa kubebewa!

Tusijidanganye; Tanzania ni jina! Nchi ni sisi wananchi! Na wananchi wa pande zote za Muungano wamechoka kulazimishiwa muungano wa serikali mbili! Tunaowaona wanatetea ni baadhi ya watawala ambao muungano uliopo sasa unawanufaisha kwa namna fulani.

Kama wananchi wengi wanadai muungano hauwatendei sasa inabidi tuseme imetosha tutafute kitakachotupa haki na usawa. Na hiki si kingine zaidi ya nchi zote kuungana na kuwa chini ya serikali moja itakayohakikisha kila raia anakuwa na haki sawa na mwenzake bila kujali atokako!

Ingependeza tuwe na serikali tatu kila nchi ijihudumie kwani kila nchi ilidai uhuru ili iwe huru! Lakini watu wanaeneza mawazo hasi ya ukubwa wa gharama!Umaskini na uvivu wa fikra! Ikumbukwe chochote kizuri ni sharti kiwe na gharama yake; tena gharama kubwa!
Kama tunakimbilia unafuu wa serikali mbili tufahamu wazi kuwa nafuu mara zote ni ghali zaidi na mara zote hazidumu!

Muungano wa serikali mbili vilio vya unyonyaji! Muungano wa serikali tatu tunaogopa gharama! Basi muungano unaotufaa ni wa serikali moja. Kama hatuwezi muungano wa serikali moja, muungano wowote ule utakaokuwepo aidha wa serikali mbili, tatu au zaidi hautatuliza kiu ya wananchi! Narudia tena: Tanzania ni jina; nchi ni wananchi!

Nashangaa nchi zenye watu zinaogopa kujiwekea mifumo ambayo itawastawisha na kumaliza chokochoko kwa visingizio visivyoisha! Ina maana pamoja na rasili mali tulizonazo viongozi wetu wanataka kututhibitishia kuwa hawawezi kuweka mifumo ya kuliendesha taifa kwa ustawi!

Hoja ya kuwa kuna udugu wa damu kati ya Tanganyika na Zanzibar ni hoja ya kibaguzi kwani uhusiano wa damu upo pia baina ya Tanganyika na nchi nyingine. Swali hapa: Ni kwa nini tusiungane na Kenya, Uganda, Msumbiji, Burundi, Malawi, Zambia, n.k kwa sababu hata huko wapo watanganyika wana ndugu zao?

Kama hoja ni udugu ni kwanini Zanzibar wanapochagua wabunge wa kuja kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano, upande wa Tanzania Bara nao wasichague wawakilishi wachache kwenye Baraza la Wawakilishi ili kuukuza zaidi huo unaoitwa udugu???

Udugu unaonufaisha upande mmoja zaidi ya mwingine si mzuri jamani! Tuache propaganda. Kama tunaamini umoja ni nguvu utengano ni udhaifu basi tuungane tuwe nchi moja, serikali moja, rais mmoja na Tanzania moja ili tuwe ndugu kweli!

Watasema hizi ni chuki lakini kama hatuwezi kumaliza tofauti zetu kwa kuunda serikali tatu au moja basi ni bora kila nchi ijendee kivyake! Hata Kenya na Uganda ni ndugu zetu lakini hatujaugana nao kutengeneza taifa la kusadikika!

Litakuwa ni kosa sana kuendelea kuwa na muungano ambao upande wa Tanganyika tu ndiyo unaendelea kupoteza historia yake wakati mshirika wake Zanzibar akibakiwa na ziada hata kama ni sawa na wilaya moja ya Tanganyika!

Wakuu; naombeni kuwasilisha hoja!
 
akhsante kwa kutuzindua.
 
Nyerere ni Muuwaji mkubwa Wala hana utakatifu wowote maana dhulma amewafanyia watu wa TZ sana tu
 
UNAJUA Mzee Karume alipokuwa hai alikuwa hataki masuala ya fedha na sarafu kuwa ya Muungano. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumtuma Waziri wake wa Fedha, Amir Jamal kuja Zanzibar lakini Mzee Karume alikataa kutoa fedha za Zanzibar kwenda Bara kwenye Benki Kuu. Nukuu ya Mama Fatma Karume!!!!!!!

Hii ilikuwa ni muendelezo wa Mwalimu Julius Nyerere kuwafanyia dhulma waznz haingii akilini vijipesa vya watu wachache kuviunganisha na Tanganyika hii ni aibu kubwa kwa mtu anaejifanya mtetezi wa wanyonge kwa wale wenzetu wa Tanganyika wanataka kumpa hadhi ya mtakatifu. duh inasikitisha sana, wadau naomba mjadala kwa hili je Mwalimu Aliwatendea Haki Wa Zanzibar? au Tz tunapenda tu kusifia chongo!

Bila reference ya ukisemacho, JF inageuka kuwa kioo kkukuonyesha wewe ni mtu wa namna gani, mpu.mbavu mkubwa!
 
Dawa ni kuvunja Muungano. Hauna faida zaidi ya wazanzibari kuchafua hali ya hewa ya Muungano kila wakati!
 
Japo nimezaliwa Tanzania bt sadly inabidi nikubaliane na wewe.. Tanganyika irudi maana huko upande wa pili kashfa imezidi..
 
MUUNGANO: Heri Tuwe Nchi Moja Serikali Moja Kama Hatuwezi Muungano wa Serikali 3!

Wakuu naomba mnisikilize:

Siungi mkono muungano wa serikali mbili kwa sababu hata tukisema tutatue kero za muungano wa haina hiyo leo; kesho zitakuja nyingine na nyingine. Kwa kifupi kero zake ni endelevu!

Mimi nadhani kilichotufanya tuungane kwanza ni kutaka kuonesha njia kwa mataifa mengine ya Afrika. Kuonesha njia ambayo baadaye ingetufikisha pale ambapo Afrika nzima ingekuwa moja. Nyerere alikuwa na haki na wajibu wa kuipoteza Tanganyika ili kuidhihirishia Afrika na dunia imani yake kwenye Muungano wa Afrika! Kipindi kile ilikuwa ni sifa kubwa sana kupigania Umoja wa Afrika.

Sababu ya pili ilikuwa ni ya kuhimarisha ulinzi na usalama kwa wakati ule!

Sababu zote hizo hapo juu hazina mashiko tena kwenye zama hizi za ubepari! Sasa kwa nini tuendelee kuishi imani zisizokuwepo!

Ikumbukwe kuwa zile juhudi za kuliunganisha bara la Afrika zilikufa hata kabla hazijafika mbali kwa sababu wengi wa waliokuwa wanaamini kwenye umoja wa Afrika walitoweka na mawazo yao!

Hata zile juhudi za kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki hazina uhai tena. Sisi ni mashuhuda wa kifo chake kitakatifu; tunasubiria tu kitangazwe rasmi siku za usoni!

Nauliza maswali hapa: Ni kwa nini kuwepo na muungano ambao mshirika mmoja anakubali kupoteza ili kumwokoa mwingine? Hata kwenye ndoa haiwezekani ndugu ni lazima walete chokochoko mwenzi mmoja akitoweka!
Eti serikali tatu haiwezekani kwa sababu Zanzibar haina uwezo! Ni kwanini nchi ijione haina uwezo wakati ilitafuta uhuru wake ili ijiendeshe?
Kama kujiendesha kwake ni kwa kutegemea taifa lingine haioni kuwa ina uhuru wa bendera tu?
Kama Zanzibar wa hofu wakiungana rasilimali zake kama mafuta n.k zitapotea; je, Tanganyika yenye gesi, mafuta, wanyamapori, makaa ya mawe, madini ndiyo iendelee kujitoa sadaka???! Basi Tanganyika itakuwa ni nchi nzuri sana ya kuishi kwa sababu haina hofu ya kuishiwa rasilimali!

Endapo atajitokeza mtu wa kuainisha pasipo shaka mipaka ya mapato na matumizi baina ya Tanzania Bara, Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nitafarijika sana! Nasema hivi kwa sababu ninachokiona mimi ni kuwa chochote kipatikanacho Tanzania Bara ni faida ya wote na cha Zanzibar ni kwa faida ya Zanzibar tu pekee.

Je, hii inaonesha kuwa Tanzania Bara inajiamini kuwa yenyewe ndiyo yenye uwezo wa gharamia serikali ya muungano na inaona fahari kufanya hivyo?! Au labda kuna masuala mengine Tanzania Bara inanufaika nayo ambayo sisi wananchi hatujui!
Je, Zanzibar nayo inaona fahari tu kuhudumiwa kila kitu kwenye muungano na wala haioni kuwa Tanzania Bara imebeba jukumu zito? Na je Zanzibar isipotimiziwa mambo kadhaa watakuwa radhi kulalamika ilhali wamebebwa katika mambo mengi?

Nionavyo mimi kama tatizo ni gharama za kuendesha serikali tatu ambazo ndo halali ni sharti tutafute mfumo wa kudumu kutatua tofauti zetu! Tukumbuke kuwa upande mmoja wa muungano umeingia gharam kubwa kuhudumia serikali ya muungano kwa zaidi ya miaka 49 sasa! Au iaonekana Tanganyika hajichoka kulea muungano na Zanzibar nayo haijachokaa kubebewa!

Tusijidanganye; Tanzania ni jina! Nchi ni sisi wananchi! Na wananchi wa pande zote za Muungano wamechoka kulazimishiwa muungano wa serikali mbili! Tunaowaona wanatetea ni baadhi ya watawala ambao muungano uliopo sasa unawanufaisha kwa namna fulani.

Kama wananchi wengi wanadai muungano hauwatendei sasa inabidi tuseme imetosha tutafute kitakachotupa haki na usawa. Na hiki si kingine zaidi ya nchi zote kuungana na kuwa chini ya serikali moja itakayohakikisha kila raia anakuwa na haki sawa na mwenzake bila kujali atokako!

Ingependeza tuwe na serikali tatu kila nchi ijihudumie kwani kila nchi ilidai uhuru ili iwe huru! Lakini watu wanaeneza mawazo hasi ya ukubwa wa gharama!Umaskini na uvivu wa fikra! Ikumbukwe chochote kizuri ni sharti kiwe na gharama yake; tena gharama kubwa!
Kama tunakimbilia unafuu wa serikali mbili tufahamu wazi kuwa nafuu mara zote ni ghali zaidi na mara zote hazidumu!

Muungano wa serikali mbili vilio vya unyonyaji! Muungano wa serikali tatu tunaogopa gharama! Basi muungano unaotufaa ni wa serikali moja. Kama hatuwezi muungano wa serikali moja, muungano wowote ule utakaokuwepo aidha wa serikali mbili, tatu au zaidi hautatuliza kiu ya wananchi! Narudia tena: Tanzania ni jina; nchi ni wananchi!

Nashangaa nchi zenye watu zinaogopa kujiwekea mifumo ambayo itawastawisha na kumaliza chokochoko kwa visingizio visivyoisha! Ina maana pamoja na rasili mali tulizonazo viongozi wetu wanataka kututhibitishia kuwa hawawezi kuweka mifumo ya kuliendesha taifa kwa ustawi!

Hoja ya kuwa kuna udugu wa damu kati ya Tanganyika na Zanzibar ni hoja ya kibaguzi kwani uhusiano wa damu upo pia baina ya Tanganyika na nchi nyingine. Swali hapa: Ni kwa nini tusiungane na Kenya, Uganda, Msumbiji, Burundi, Malawi, Zambia, n.k kwa sababu hata huko wapo watanganyika wana ndugu zao?

Kama hoja ni udugu ni kwanini Zanzibar wanapochagua wabunge wa kuja kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano, upande wa Tanzania Bara nao wasichague wawakilishi wachache kwenye Baraza la Wawakilishi ili kuukuza zaidi huo unaoitwa udugu???

Udugu unaonufaisha upande mmoja zaidi ya mwingine si mzuri jamani! Tuache propaganda. Kama tunaamini umoja ni nguvu utengano ni udhaifu basi tuungane tuwe nchi moja, serikali moja, rais mmoja na Tanzania moja ili tuwe ndugu kweli!

Watasema hizi ni chuki lakini kama hatuwezi kumaliza tofauti zetu kwa kuunda serikali tatu au moja basi ni bora kila nchi ijendee kivyake! Hata Kenya na Uganda ni ndugu zetu lakini hatujaugana nao kutengeneza taifa la kusadikika!

Litakuwa ni kosa sana kuendelea kuwa na muungano ambao upande wa Tanganyika tu ndiyo unaendelea kupoteza historia yake wakati mshirika wake Zanzibar akibakiwa na ziada hata kama ni sawa na wilaya moja ya Tanganyika!

Wakuu; naombeni kuwasilisha hoja!

Nafikiri muda wa kutafuna maneno umekwisha.Sasa ni muda wa kuita njano NJANO na si blue tena!

Its time to bring our TANGANYIKA back!
 
Go away!!!!

Mme faidi kodi ya watanganyika kwa miaka 50 sasa!enogh is enough

we uchwara wacha kelele

kodi imeanzishwa na serikali ya mkapa, hakukuwa na kodi siku za nyerere na za mwinyi

Nyerere au tanganyika, wametuibia pesa zetu sisi wa znz zilokuwa nchi za nje kama akiba yetu, nyerere alikwenda juu chini hadi zikaletwa bank kuu ya tangayika, huu ulikuwa wakti wa jumbe,

ilipoundwa bank kuu ya tanganyika znz ilichangia 11% leo munatupa 4.5% nani mwizi hadi hapo?
 
Kilichonivutia kusoma thread hii ni matumizi ya neon DHULMA....baada ya kuangalia ndani, nimeamua kurudi zangu kwa novel of the week...Mengine haya yanajaza vichwa bila sababu.
 
Back
Top Bottom