Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Please don't insult Julius Nyerere please.wewe unafunga mchezo kuwa rais wa kwanza baada ya mkoloni.stopUkifuatilia Hotuba nyingi wakati akiwa hai mambo ambayo Nyerere aliyaamini kuwa ndio msingi wa maendeleo yana shabihiana sana na hotuba za Obama, Hotuba za Obama kila mara kwa Wamarekani zinakuwa na mashiko kwa sababu Obama anaamini kushirikishwa kwa kila mwananchi wa marekani katika ujezi wa nchi, na kwamba ndio njia pekee ya kujinusuru kiuchumi, na sio kutegemea wenye nazo wachache: Ndio maana nyerere aliweka mikakati ya vijiji vya ujamaa mpaka leo bado asilimia 90 ya ardhi ipo kwa wazawa: elimu bure, kutaifisha viwanda, kujenga vyuo na mambo mengi sana. Ila kwa speed ya hawa viongozi wanapeleka nchi pasipo paswa!
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Hata kama unataka kuwafananisha, huwezi kusema Nyerere kama Obama, bali ulipashwa kusema Obama kama Nyerere, kwa sababu hayo unayoyahamini kuwa yanafanana basi ni Nyerere aliyaanza na ndio Obama sasa
mtoto wa nyoka ni nyoka.
Hili Mkuu ndo limenifanya niufungue huu uzi maana tangu jana naupita pita tu sasa nimejiuliza mara mbili mbili hivi inawezekana vipi Nyerere ndo akamfanana Obama na siyo Obama ndo amfanane Nyerere?Hata kama unataka kuwafananisha, huwezi kusema Nyerere kama Obama, bali ulipashwa kusema Obama kama Nyerere, kwa sababu hayo unayoyahamini kuwa yanafanana basi ni Nyerere aliyaanza na ndio Obama sasa
Nani kama mwenzake?