Nyerere day .............................. ......

Imetimia miaka 14 toka Mwalimu Nyerere alivyofariki dunia. Pumzika kwa amani Baba wa Taifa letu hili Tanzania.

 
TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA WA TAIFA



Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.
​
Ni miaka 14 sasa tangu ulipotutoka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Daima tunakukumbuka kutokana na hekima na busara zako pamoja na kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano kati yetu Watanzania


 

Attachments

  • NYERERE.jpg
    58 KB · Views: 420
yani? kama kuna kitu sitakaa nikisamehe ni pale nitagundua mzee alikufa si kwa mpango wa mungu. yani kama ni kamari. mzee ndiyo karata pekee tulokuwa nayo mkononi kama watanzania, mungu amlaze pema peponi baba wa taifa langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…