Nyerere ndie aliyeruhusu mfumo wa vyama vingiWakati huo ndo kulikuwa n.a. upinzani
Enzi hizo ilikuwa kwenye Kigoda Cha Mwalimu Ni wiki ya kumsakama na kumsimanga Jakaya lakin tangu Chuma kishike mpini wamepoteana
Sio kwamba watu hawana hoja bali wengi wanaogopa kupimwa mkojo. Hasara za kuzuia watu kuongea tutaziona vizuri baada ya awamu hii ya kwanza kuisha.
Kumbe enzi zile wanajiachia ilitokana Na ujasiri wa Rais wa wakati huo kuruhusu kutukanwa Sio ujasiri WA watukanaji kutoogopa chochote maana Sasa hivi wameufyata hakuna Cha Warioba, Butiku wala Shivji
Mkuu britanicca hiyo thread mbona ya Zamani sana! Miaka 11 iliyopita kabisaWakati huo ndo kulikuwa n.a. upinzani
Huwa napitia sana comments za nyuma n.a. kuona mitazamo ya watuMkuu britanicca hiyo thread mbona ya Zamani sana! Miaka 11 iliyopita kabisa
Hivi kwa akili yako yule na huyu nani anatukanwa sana kwa maana ya kutukanwa? Mkwere analikuwa anapewa vijembe vya kisiasa na alivikubali na yeye alikuwa anajibu pia bila hasira.Kumbe enzi zile wanajiachia ilitokana Na ujasiri wa Rais wa wakati huo kuruhusu kutukanwa Sio ujasiri WA watukanaji kutoogopa chochote maana Sasa hivi wameufyata hakuna Cha Warioba, Butiku wala Shivji
wapinzani wanaompa fisadi fursa?Tarehe 14 ya mwezi October kila mwaka Watanzania wameifanya siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl J.K.Nyerere (RIP) kutokana na mchango wake kwa taifa hili ambao kila mtu anautambua.
Pamoja na yote,Mwalimu alipiga vita kwa nguvu zake zote ufisadi,ubinafsi,unyonyaji,ubadhilifu wa mali ya umma,ujinga,maradhi na vyote vyenye majina mabaya.
Tokea kifo chake,CCM imeamua kuyakumbatia na kuyaenzi yale yote aliyoyakataa kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu.
Kwa kuwa Wapinzani sasa wanazungumza kile alichokuwa anasema Mwalimu,kwa nini tusiipitishe siku ya kumbukumbu yake kuwa siku ya upinzani dhidi ya CCM kwa viongozi kuandaa maandamano na hotuba zenye hamasa ya kufahamu kinachoendelea ili kila raia mwema wa nchi hii afahamu na kuunga mkono juhudi hizo.
.
Acheni utani na usanii nyie. Kwa upinzani huu Wa njaa na utapeli?Tarehe 14 ya mwezi October kila mwaka Watanzania wameifanya siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl J.K.Nyerere (RIP) kutokana na mchango wake kwa taifa hili ambao kila mtu anautambua.
Pamoja na yote,Mwalimu alipiga vita kwa nguvu zake zote ufisadi,ubinafsi,unyonyaji,ubadhilifu wa mali ya umma,ujinga,maradhi na vyote vyenye majina mabaya.
Tokea kifo chake,CCM imeamua kuyakumbatia na kuyaenzi yale yote aliyoyakataa kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu.
Kwa kuwa Wapinzani sasa wanazungumza kile alichokuwa anasema Mwalimu,kwa nini tusiipitishe siku ya kumbukumbu yake kuwa siku ya upinzani dhidi ya CCM kwa viongozi kuandaa maandamano na hotuba zenye hamasa ya kufahamu kinachoendelea ili kila raia mwema wa nchi hii afahamu na kuunga mkono juhudi hizo.
.
kwa upeo wa akili yako unadhani kuogopwa na kuwaziba watu midomo ndio jambo la.kupelekea nchi kuendlea ? unaikumbuka G55? hii ilitokea wakati huyo mwalimu akiwa hai. sema na wanaokutuma na kukulipa hakuna maendeleo bila watu kukinzana mawazo. madhara yatakayopatikana kwa kuwaziba watu midomo ni makubwa kuliko ujenzi wa reli na madegeKumbe enzi zile wanajiachia ilitokana Na ujasiri wa Rais wa wakati huo kuruhusu kutukanwa Sio ujasiri WA watukanaji kutoogopa chochote maana Sasa hivi wameufyata hakuna Cha Warioba, Butiku wala Shivji
fisadi ni nani? serikali inayopiga vita ufisadi inaruhusuje kiongozi wake kuingiza makontena yote yale bila kulipa ushuru na au kuchukuliwa hatua yyete? ati nawe ni Chizi chizi?wapinzani wanaompa fisadi fursa?
kwa upeo wa akili yako unadhani kuogopwa na kuwaziba watu midomo ndio jambo la.kupelekea nchi kuendlea ? unaikumbuka G55? hii ilitokea wakati huyo mwalimu akiwa hai. sema na wanaokutuma na kukulipa hakuna maendeleo bila watu kukinzana mawazo. madhara yatakayopatikana kwa kuwaziba watu midomo ni makubwa kuliko ujenzi wa reli na madege
na wakati huu nao ni wakupiga makofi kwa vichaa vichaa hivi? ama sivyo?G55 ilitokea wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi
Wakati wa Nyerere ulikuwa Ni kupiga Makofi ya zidumu fikra sahihi Za Mwenyekiti
na wakati huu nao ni wakupiga makofi kwa vichaa vichaa hivi? ama sivyo?