Mhh.... Excel kwa kubadili avatar nakuvulia kofia!Huyu mtu mbona nasikia tetesi kuwa alihujumiwa maisha yake na kwamba kifo chake kilikuwa cha kulazimisha haikuwa mipango ya Mungu??
Mwenye kujua ukweli juu ya huu tata please anifahamishe..
Halafu pia sijawahi kuona akiwa amevaa vazi la kijani ambalo ni alama ya Chama Tawala, CCM! kuna sababu gani hapo???