Kuna fununu zifuatazo kama picha hapo chini zinavyoonesha kuwa Ruto na Museveni wanataka kumrudisha Samia wagawane madaraka na Tundu Lisu. Nasema hivi Tundu Lisu asikubali huyu Mama hafai hata kuwa diwani kwenye hii nchi anafaa kushitakiwa kwa makosa ya uhaini.