Nyaronyo Kichere anavyopotosha umma

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
203
Toleo na 180 alhamisi 31 December katika ukurasa wa 4, Nyaronyo kichere aliandika makala yenye kichwa cha Habari RPC, OCT TARIME MAJIPU YALIYOIV.

Katika makala hiyo bwana Nyaronyo anajaribu kuuelezea umma kuwa mila ya kikurya SAIGA ni mila ilo pitwa na wakati haifa.

Toka makala hiyo itoke tayari hatua za dharura zimechukuliwa ikiwa ni kupiga marufuku mikusanyiko ya aina yoyote inayo husu saiga.

Saiga iliweka misingi ya heshima na nidhamu katika kata za Nyangoto, Nyamwaga, kerende, katika kipindi Saiga ina nguvu ni marufuku mtu kuonea mwingine, ni marufuku unyang'anyi ni marufuku kutembea na silaha za jad.

Saiga ilisimamia yote hayo na endapo ukifanya kimojawapo unatozwa faini ambayo Nyaronyo kichere anaping.

Nyaronyo kichere ni mwenyeji wa Matongo anayajua vyema mazingira haya jinsi yalivyo kuwa ya kibabe hasa kwa watu kuja (wageni wanao fanya kazi north Mara.

Toka marufuku hiyo tayari visa vimeanza vya uporaji na unyang'anyi, ni tukio la juzi binti mmoja aliporwa begi Lake lililokuwa na vipodozi walidhani mawe.

Nyaronyo Kichere umepotosha umma katika makala yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom