Nyarandu na TOYO yake

Akishapewa tu kura zake hapo anahamia zake Dar kama kawaida...
 
kwani icho ni chombo cha usafiri wa binadamu au ni kwa .... inaruhusiwa
 
Sijui hawa ccm wanawafikiliaje wananchi ???inamaana anawadanganya wananchi kuwa waone yeye yupo nao levo moja kimaisha.
 
Mbona kwenye picha Anti Ezekieli simuoni hapa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…